Hapa ndipo mawaziri Wa jpm unaposhindwa kuwaelewa
katika harakati za kupiga marufuku utengenezwaji, uuzwaji na utumiaji Wa pombe ya kiroba, Nsibu waziri Wa Afya alisema mwisho Wa uuzwaji Wa pombe hiyo ni mwezi juni, lakini waziri Mkuu naye akaja na lake kuwa mwisho ni mwezi machine mwaka huu. je tukubali tamko LA yupi kati ya hawa mawaziri?
kwa nini hawawasiliani kabla ya kuzungumza, je kila MTU anataguta kiki kama ilivyo kwa serikali hii.?
Kigwangalla: Serikali kupiga Marufuku Matumizi ya Pombe za VIROBA Kufikia Mwezi wa Sita mwaka 2017
Waziri Mkuu Majaliwa: Viroba marufuku kuzalishwa wala kutumiwa kuanzia Machi 01, 2017