Waziri mkuu Majaliwa tuokoe walimu Bunda

mugua

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
205
Reaction score
121
Mhesimiwa waziri mkuu,baadhi ya walimu bunda tunanyanyaswa na afisaelimu wa wilaya kwa sababu tulisema ukweli kuwa wapo wanafunzi waliorudia darasa la saba baada ya kuhitimu elimu hiyo shule mbalimbali.

Tulihojiwa mara kadhaa kuhusu sakata hilo na kuendelea kukiri, hatua hii ilimuudhi sana afisaelimu Sistaimelda Lubengo ambaye alitoa vitisho kuwa atatoa uhamisho wa adhabu ambao hauna malipo.

Wakaguzi wa elimu wilaya walikagua shule wakagundua wanafunzi wapo lakini walifumbia macho suala hilo na kwa pamoja waliungana na afisaelimu,mkurugenzi wa wakati huo,afisautumishi wa wakati huo kutoa uhamisho ambao tafsiri yake ni adhabu.

Mh,Waziri mkuu, afisaelimu wa mkoa wa mara analifahamu fika suala hili,ofisi ya katibu inalifahamu suala hili kwa maandishi.Lakini wote kimya.

Baada ya kuhamia vituo vipya vya kazi tuliomba kulipwa gharama za uhamisho kwa mujibu wa kanuni za kudumu za utumishi L.5 (1)na L.13(1)hata hivyo afisaelimu mweye dhamana kwanza aligoma kujibu barua za maombi mpaka alipolazimishwa na kaimu mkurugenzi wakati huo.Hata hivyo majibu yake yalikataa kulipa.

Mh,Waziri mkuu,wakaguzi toka ofisi ya ukaguzi wa elimu kanda walifika bunda,walikagua kwa kina suala hilo na waligundua kuwepo wanafunzi waliorudia,aidha waligundua baadhi ya nyaraka ziligushiwa ili kuhalalisha wanafunzi hao.Taarifa tulizonazo ni kwaba waliagiza waliagiza mamlaka zenye dhamana zinawachukulia hatua mwalimu mkuu,ambaye tayari kavuliwa madaraka,na mkaguzi mkuu wa elimu wilaya pamoja na afisaelimu.

Zimefanyika juhudi za kutaka kulipwa stahiki zetu za uhamisho ikiwemo kumuona mkurugenzi wa sasa na afisa utumishi lakini nao wameungana na afisaelimu kuendelea kukataa,mkurugenzi ameandikiwa barua na chama cha walimu wilaya aeleze kwanini walimu wasilipwe,amefuatwa sana amegoma kujibu.

Mh,Waziri mkuu,huu ni ufupisho yako mengi.Walimu tunaomba msaada wa ofisi yako kuhusu yafuatayo;

1)Kusema ukweli ni jinai?

2)Kuna uhamisho wa adhabu?kwa kosa lipi?vituo vipya vya kazi ni jela?Hiyo adhabu inaisha lini?

3)Uonevu,unyanyasaji,ukandamizaji mpaka lini?
Hakuna amani kazini.

Mwisho tunaomba msaada wako utusimamie tupate stahiki zetu.
Shukrani.
 
Walimu hamuishi lawama kila kukicha!
Mara kunyanyaswa mara kulipwa kidogo hivi kuna salary scale ya mwalimu na mtumishi mwingine wa uma?
 
mwl acha roho mby sasa mtoto akirudia hili afaulu ww unapata hasara gan?? alafu huo mkoa hw hamna mambo ya uongo uongo( ni mkoa wa kiume ) hata mm nilirudia darasa la saba na ss nko mbl
 
hv afisa elimu si binadamu wa kawaida tu.. anakuendeshaje kichwa.. siku aingie kwenye 18 za mtu mwenye akili kama zangu.... ataimba kisengeli....!!!!
 
Mhesimiwa waziri mkuu,baadhi ya walimu bunda tunanyanyaswa na afisaelimu wa wilaya kwa sababu tulisema ukweli kuwa wapo wanafunzi waliorudia darasa la saba baada ya kuhitimu elimu hiyo shule mbalimbali.

Tulihojiwa mara kadhaa kuhusu sakata hilo na kuendelea kukiri, hatua hii ilimuudhi sana afisaelimu Sistaimelda Lubengo ambaye alitoa vitisho kuwa atatoa uhamisho wa adhabu ambao hauna malipo.

Wakaguzi wa elimu wilaya walikagua shule wakagundua wanafunzi wapo lakini walifumbia macho suala hilo na kwa pamoja waliungana na afisaelimu,mkurugenzi wa wakati huo,afisautumishi wa wakati huo kutoa uhamisho ambao tafsiri yake ni adhabu.

Mh,Waziri mkuu, afisaelimu wa mkoa wa mara analifahamu fika suala hili,ofisi ya katibu inalifahamu suala hili kwa maandishi.Lakini wote kimya.

Baada ya kuhamia vituo vipya vya kazi tuliomba kulipwa gharama za uhamisho kwa mujibu wa kanuni za kudumu za utumishi L.5 (1)na L.13(1)hata hivyo afisaelimu mweye dhamana kwanza aligoma kujibu barua za maombi mpaka alipolazimishwa na kaimu mkurugenzi wakati huo.Hata hivyo majibu yake yalikataa kulipa.

Mh,Waziri mkuu,wakaguzi toka ofisi ya ukaguzi wa elimu kanda walifika bunda,walikagua kwa kina suala hilo na waligundua kuwepo wanafunzi waliorudia,aidha waligundua baadhi ya nyaraka ziligushiwa ili kuhalalisha wanafunzi hao.Taarifa tulizonazo ni kwaba waliagiza waliagiza mamlaka zenye dhamana zinawachukulia hatua mwalimu mkuu,ambaye tayari kavuliwa madaraka,na mkaguzi mkuu wa elimu wilaya pamoja na afisaelimu.

Zimefanyika juhudi za kutaka kulipwa stahiki zetu za uhamisho ikiwemo kumuona mkurugenzi wa sasa na afisa utumishi lakini nao wameungana na afisaelimu kuendelea kukataa,mkurugenzi ameandikiwa barua na chama cha walimu wilaya aeleze kwanini walimu wasilipwe,amefuatwa sana amegoma kujibu.

Mh,Waziri mkuu,huu ni ufupisho yako mengi.Walimu tunaomba msaada wa ofisi yako kuhusu yafuatayo;

1)Kusema ukweli ni jinai?

2)Kuna uhamisho wa adhabu?kwa kosa lipi?vituo vipya vya kazi ni jela?Hiyo adhabu inaisha lini?

3)Uonevu,unyanyasaji,ukandamizaji mpaka lini?
Hakuna amani kazini.

Mwisho tunaomba msaada wako utusimamie tupate stahiki zetu.
Shukrani.
hivi hawa wanojifanya miungu watu hua wanatembea na ulinzi wa askari? mimi naona kuna haja ya kuanza kuwapiga ngumi za kutosha mnapokua mmekutana kipande E. inachosha sana sana kuona kamtu kakipuuzi kanatesa watu hovyo hovyo
 
Ila walimu kuna vitu mnafuatilia havina maana kwenu sasa akifeli dar alafu anapokuja kurudia bunda kuna tatizo gani? Basi waambie Wizara waweke mitihan ya kulisiti darasa LA saba.
 
Andika vizuri kwanza mkuu, wasalimie huko nyamswa.
 
Inabidi mkomae kiume mkiwaendekeza sana Hawa ma Afisa elimu watawapanda vichwani, chukua maamuzi ya kiume zaidi mkuu.

Mhesimiwa waziri mkuu,baadhi ya walimu bunda tunanyanyaswa na afisaelimu wa wilaya kwa sababu tulisema ukweli kuwa wapo wanafunzi waliorudia darasa la saba baada ya kuhitimu elimu hiyo shule mbalimbali.

Tulihojiwa mara kadhaa kuhusu sakata hilo na kuendelea kukiri, hatua hii ilimuudhi sana afisaelimu Sistaimelda Lubengo ambaye alitoa vitisho kuwa atatoa uhamisho wa adhabu ambao hauna malipo.

Wakaguzi wa elimu wilaya walikagua shule wakagundua wanafunzi wapo lakini walifumbia macho suala hilo na kwa pamoja waliungana na afisaelimu,mkurugenzi wa wakati huo,afisautumishi wa wakati huo kutoa uhamisho ambao tafsiri yake ni adhabu.

Mh,Waziri mkuu, afisaelimu wa mkoa wa mara analifahamu fika suala hili,ofisi ya katibu inalifahamu suala hili kwa maandishi.Lakini wote kimya.

Baada ya kuhamia vituo vipya vya kazi tuliomba kulipwa gharama za uhamisho kwa mujibu wa kanuni za kudumu za utumishi L.5 (1)na L.13(1)hata hivyo afisaelimu mweye dhamana kwanza aligoma kujibu barua za maombi mpaka alipolazimishwa na kaimu mkurugenzi wakati huo.Hata hivyo majibu yake yalikataa kulipa.

Mh,Waziri mkuu,wakaguzi toka ofisi ya ukaguzi wa elimu kanda walifika bunda,walikagua kwa kina suala hilo na waligundua kuwepo wanafunzi waliorudia,aidha waligundua baadhi ya nyaraka ziligushiwa ili kuhalalisha wanafunzi hao.Taarifa tulizonazo ni kwaba waliagiza waliagiza mamlaka zenye dhamana zinawachukulia hatua mwalimu mkuu,ambaye tayari kavuliwa madaraka,na mkaguzi mkuu wa elimu wilaya pamoja na afisaelimu.

Zimefanyika juhudi za kutaka kulipwa stahiki zetu za uhamisho ikiwemo kumuona mkurugenzi wa sasa na afisa utumishi lakini nao wameungana na afisaelimu kuendelea kukataa,mkurugenzi ameandikiwa barua na chama cha walimu wilaya aeleze kwanini walimu wasilipwe,amefuatwa sana amegoma kujibu.

Mh,Waziri mkuu,huu ni ufupisho yako mengi.Walimu tunaomba msaada wa ofisi yako kuhusu yafuatayo;

1)Kusema ukweli ni jinai?

2)Kuna uhamisho wa adhabu?kwa kosa lipi?vituo vipya vya kazi ni jela?Hiyo adhabu inaisha lini?

3)Uonevu,unyanyasaji,ukandamizaji mpaka lini?
Hakuna amani kazini.

Mwisho tunaomba msaada wako utusimamie tupate stahiki zetu.
Shukrani.
 
Kwenye swala la uhamisho bana maa afisa elimu wanakuwaga kama wehu....kama ulipishana nae kauri imekula kwako....kama mmekutana kwa mwanike(mwanamke)mmoja apo utatokomezwa polini....serikali kuna aja ya kuliangalia hili
 
Akili zingine sio za nchi hii, sasa ndo unajitamba mtaani we ni jembe la Jf kwa point hii!!!!
3123fbb6ed2e6d0a8b8a26d49faf33ab.jpg

Usiku mwemaaa
 
Back
Top Bottom