Wasudi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 226
- 223
Mmmmh nimeshangaa waziri mkuu kusema "OLE WAKE MTU ALE PESA YA MKULIMA" Tusiwe wanasiasa kwenye vitu vinavyogusa wananchi naomba waziri mkuu njoo wilayani Tandahimba pita vijiji kumi tu itisha mkutano halafu sema anaedai pesa ya korosho apite mbele uone balaa. Watu wanadai pesa nyingi sana.