Waziri Mkuu Majaliwa amesema Rais Magufuli atakuwa wa mwisho kuhamia Dodoma

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,935
5,558
Wana JF.
Kwenye gazeti la mwananchi leo limeripoti kuhusu kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kusema raisi Magufuli atakuwa wa mwisho kuhamia dodoma na kupokewa na watumishi wa serikali.
Screenshot_2016-09-10-09-35-15.png

Mbona hakuna taarifa kuhusu wizara kuanzia ya Waziri Mkuu wanahamia lini dodoma?
 

Attachments

  • Screenshot_2016-09-10-09-35-15.png
    Screenshot_2016-09-10-09-35-15.png
    237.9 KB · Views: 64
ila hawa jamaa kama hawatakuwa makini watatushitua mpaka sisi ambao hatujajua kama wanatuchezea akili. bora wakae kimyaa ili tuliolala wasituamshe
 
Back
Top Bottom