Waziri Mkuu Majaliwa akiambatana na Mzee Mkapa aelekea Msumbiji kumwakilisha Rais Magufuli sherehe za kuapishwa Filpe Nyusi

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,755
2,000
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameondoka Tanzania kueleka Msumbiji kumwakilisha Rais Magufuli katika sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nchi hiyo Filipe Nyusi.

Waziri Mkuu ameongozana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Filipe Nyusi anaapishwa leo Jumatano.

Rais Nyusi alitangazwa mshindi wa uchaguzi kwa kupata 73% ya kura, huku Chama chake cha FRELIMO kikiwa na 74% ya viti Bungeni kufuatia uchaguzi wa Oktober 15 mwaka jana.

Mhe:Rais Yupo Busy Kujenga Nchi Hana Muda Na Kukwea Mapipa FB_IMG_1579081898600.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
big victor

Senior Member
Feb 11, 2013
141
225
Ovyo kabisa, nashangaa Marais wengine kuja hapa Tanzania wakati Huyu kagoma kabisa, kwann na wao wasije
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
28,625
2,000
Safi sana ! Tunaimani na uwakilishi wenu. Wacha JPM aendelee kupambana na unyooshaji wa taifa letu.
Lowassa na Sumaye mbona hamjawajumlisha kwenye hiyo safari? Maana walikuwa wamemisi sana hizo hafla baada ya kwenda kutafuta madaraka kupitia cdm. Hata mimi siungi mkono rais kwenda safari kama hizi maana hazina tija, ila yeye hata zenye tija huwa haendi.
 
Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,755
2,000
Yakaisari ...
Lowassa na Sumaye mbona hamjawajumlisha kwenye hiyo safari? Maana walikuwa wamemisi sana hizo hafla baada ya kwenda kutafuta madaraka kupitia cdm. Hata mimi siungi mkono rais kwenda safari kama hizi maana hazina tija, ila yeye hata zenye tija huwa haendi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
34,375
2,000
Natoa wosia kwa vijana walio ingia kidato cha kwanza 2020 kusoma kwa bidii hasa mwenye somo la ung'eng'e maana kuto kuujua ni mateso huko mbeleni kama wata bahatika kusukumiziwa madaraka.
Inanyima fursa nyingi za kukutana na wenzako wa level yako kutoka sehemu mbalimbali maana unakuwa na ka uoga fulani.
Sorry; post hii nimeiweka kwa bahati mbaya na kitufe cha kufuta sikioni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushora Ndago

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
319
500

Zitakuja safari nyingine inshallah ikimpendeza mh. Rais wataenda.
 
Wacha waje kukujinalako !
 
Top Bottom