Ukiona hivyo Ujue watu wenye majukumu ya kumlinda Mama Tanzania tayari wako field. Hicho alichokifanya Mh. Waziri Mkuu tunaita "Need to know basis" kwa Wabunge na Taifa kwa ujumla.Mbona kaongea kirahisi sana !?
Samahani mkuu nahitaji ufafanuzi wako kama hautojaliUkiona hivyo Ujue watu wenye majukumu ya kumlinda Mama Tanzania tayari wako field. Hicho alichokifanya Mh. Waziri Mkuu tunaita "Need to know basis" kwa Wabunge na Taifa kwa ujumla.
Tatizo la Wakimbizi kutoka Burudi siyo geni na linafahamaika. Silaha za Kivita zimezagaa Kigoma na hadi Tabora.
Mpaka wa Burudi na Tanzania unatakiwa ulinzi wake uimarishwe. Any laxity it would cost the country dearly. Miaka 2008- 2012 hala ya usalama kada ya Magharibi kiusala ilikuwa tete sana. Hali hiyo isijirudie. Watanzania kwa umoja wetu tuseme inatosha.
Hongera zako kwa ujasiri watu wengi wanajua mambo hayo tatizo linakuja akitoa taarifa kumbe askari ambao si waaminifu wanakuwa na ushirikiano na hao maharamia so mtu ana khofu ya kubadilishiwa kibao ni ujasiri uliotukuka umefanya watu hao watiwe nguvuni pana haja ya kulitizama jeshi letu kwa jicho la tatu .MKUU ulichosema ni kweli. Ulinzi mipakani inabidi uimalishwe sana. Pia nadhani inatakiwa screening ya hali ya juu kule mipakani ili waasi wakamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria mara moja.
Mie nakumbuka mwaka 1994 baada ya Rwanda genocide waasi walikuwa wakikimbia na silaha za kivita. Nakumbuka niliwahi kufuatwa na kijana mmoja mtanzania na kuniambia kuna watu wanauza silaha kama nahitaji basi aniunganishe. Basi nikajifanya kama nahitaji kijana kanipeleka kwa wahusika. Huwezi amini mkuu. Jamaa walikuwa na silaha siyo chini ya 50. (AK47 walikuwa wanauza shilingi 30,000 na pistols walikuwa na diamond sh 18000, Taurus na Kartec 15000. Nikajifanya nihataji Taurus pistol na AK 47. Ila nikawaambia kwa wakati huo sikuwa na cash hivyo niondoke na yule dogo nikampe pesa awaletee. Tulipotoka tu eneo lile nikamwambia dogo twende naye mjini (sababu eneo husika ilikuwa kijijini) ili nikamchukulie pesa. Dogo kakubali. Tulivyofika mjini nikamzugazuga dogo anisubiri sehemu nikaenda kituo cha polisi kutoa taarifa. nikawaelekeza na yule dogo alipo na jinsi alivyo polisi wakaenda kumdaka kawapeleka mpaka kwa wale jamaa wakimbizi wote wakakamatwa na silaha zao.
Kama serikali isipokuwa makini kwa sasa hivi hali inaweza kuwa mbaya mno.
Unahitaji ufafanuzi katika nini Mkuu?Samahani mkuu nahitaji ufafanuzi wako kama hautojali
Apo wenye majukumu ya kumlinda mama tanzania tayari wapo fieldUkiona hivyo Ujue watu wenye majukumu ya kumlinda Mama Tanzania tayari wako field. Hicho alichokifanya Mh. Waziri Mkuu tunaita "Need to know basis" kwa Wabunge na Taifa kwa ujumla.
Hiyo Mbona inajieleza mkuu. Ina maana vyombo vya Ulinzi na Usalama viko eneo husika vikiendelea na kazi ya kuilinda Mama Tanzania ili mimi, wewe, Wahindi na Watanzania wengine tuendelee kufurahia matunda ya uhuru na Amani katika nchi yetu. Natumaini umenielewa.Apo wenye majukumu ya kumlinda mama tanzania tayari wapo field
Watanzania tunapaswa kufanya kama ulivyofanya mkuu. Huo ndio uzalendo na sio kukaa kimya ukidhan unaikomoa serikali kumbe hapana...huwez jua hio silaha ndio inaweza muua ndugu yako akitoka bank mliman cityMKUU ulichosema ni kweli. Ulinzi mipakani inabidi uimalishwe sana. Pia nadhani inatakiwa screening ya hali ya juu kule mipakani ili waasi wakamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria mara moja.
Mie nakumbuka mwaka 1994 baada ya Rwanda genocide waasi walikuwa wakikimbia na silaha za kivita. Nakumbuka niliwahi kufuatwa na kijana mmoja mtanzania na kuniambia kuna watu wanauza silaha kama nahitaji basi aniunganishe. Basi nikajifanya kama nahitaji kijana kanipeleka kwa wahusika. Huwezi amini mkuu. Jamaa walikuwa na silaha siyo chini ya 50. (AK47 walikuwa wanauza shilingi 30,000 na pistols walikuwa na diamond sh 18000, Taurus na Kartec 15000. Nikajifanya nihataji Taurus pistol na AK 47. Ila nikawaambia kwa wakati huo sikuwa na cash hivyo niondoke na yule dogo nikampe pesa awaletee. Tulipotoka tu eneo lile nikamwambia dogo twende naye mjini (sababu eneo husika ilikuwa kijijini) ili nikamchukulie pesa. Dogo kakubali. Tulivyofika mjini nikamzugazuga dogo anisubiri sehemu nikaenda kituo cha polisi kutoa taarifa. nikawaelekeza na yule dogo alipo na jinsi alivyo polisi wakaenda kumdaka kawapeleka mpaka kwa wale jamaa wakimbizi wote wakakamatwa na silaha zao.
Kama serikali isipokuwa makini kwa sasa hivi hali inaweza kuwa mbaya mno.
Hiyo Mbona inajieleza mkuu. Ina maana vyombo vya Ulinzi na Usalama viko eneo husika vikiendelea na kazi ya kuilinda Mama Tanzania ili mimi, wewe, Wahindi na Watanzania wengine tuendelee kufurahia matunda ya uhuru na Amani katika nchi yetu. Natumaini umenielewa.
Kwangu mimi WAHINDI sio Watanzania ndio maana Kama umesoma vyema kwenye bandiko langu nimewajumuisha na wao kuwa wanafurahia Uhuru na Amani nchini kwetu. Ni kwa sababu sijawahi kuona muAfrika achilia Mtanzania ambaye anaclaim Uhindi nchini India na akafanikiwa. Kwa hawa washenzi sisi ni GOLO tu.Wah
Kwani wa Hindi ni watanzania pia