Waziri Mkuu Kassim Majaliwa yuko wapi?

Amejifunza kuepuka mistake aliofanya luwasa wakt wa jk maana kumfunika raisi ni treason hhahahaa
 
amefunga kwanza ramadhan ikiisha atendelea🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Hahaha kipindi kili ilikua bora ukutane na pombe kuliko majaliwa,

Majaliwa sasa kwisha stori take pombe anafanya kila kitu mwenywe
 
Hasa pale ambapo ubadhirifu unatokea wizara ya ujenzi na ripoti ya CAG ikaweka wazi na muhusika ndo bosi wako. Hapo ukali unazidi hadi unaamua tu kukaa kimya!
 
nani kakwambia majaliwa mkristo ,siku nyingi alishafuata dini ya mke wake kama hujui jamaa ni mgalatia safi
Nilimuona jamaa (PM) kwa picha moja akiwa ndani ya kanzu na barhghashia + majina yake, nikajua mwenzetu. Nilichokisahau tu kwamba hata yanga huvaa kijani na njano
 
Soda imeisha gesi yake
 
Ila kwel kapoa mno.. Sjui ndio majukum yamekua mengi
 
We subiri ya kasulu utayasikia. Ndo utajua alikuwa wapi?
 
Hapana mkuu majukum ya wazr yapo pia yacyo.ya halaiki huwez kfanya kaz za office hku unapga mayowe

Nzagamba tukiheshemu Kiswahili japo kidogo maana walimu wetu hawana amani.
Majukum
Wazr
Yacyo
Hewez
Kaz
Hku
Samahani Kama nimekukwaza
 
Jamii forum inazidi kushuka chati kadri siku zinavyozidi kwenda. Zamani Jamii forum ilikua kweli ya great thinkers ila kwa sasa inaanza kuchuana na facebook.
 
Proof reading ni muhimu maana mnakosea majina ya watu mpaka viongozi wa nchi.Au r na l ni sawa kwako
 
Nilimuona jamaa (PM) kwa picha moja akiwa ndani ya kanzu na barhghashia + majina yake, nikajua mwenzetu. Nilichokisahau tu kwamba hata yanga huvaa kijani na njano

Vangigula naona unamtania mbunge wa Mkulanga .
 
Yupo Nanganga anasubilia noah ijae apande aende ruangwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…