Siku za kwanza za uteuzi wake tuliona mh.akizunguka huku na kule kutumbua majipu hali iliyopelekea watendaji wa serikali kushikwa na kihoro. Muda umepita sasa sijasikia kasi ya mh. wetu, najiuliza yuko wapi? Nini kimekufanya upoe mkuu majipu bado hayajaisha, sisi wananchi bado tuna imani na wewe
Naamini hadi JPM anamteua alijiridhisha kabisa so sidhan kama angeteua mtu ambaye ni jipuHuyu Majaliwa alikuwa Naibu Waziri wa Tamisemi kipindi cha JK, na madudu yooote ya huko anayajua. Likiwemo hili la wafanya kazi hewa. Atakuwa ameguswa pabaya.
KitwangaNaamini hadi JPM anamteua alijiridhisha kabisa so sidhan kama angeteua mtu ambaye ni jipu