Kwenye kampeni za CCM atumie mali ya umma? nimekutukana tusi kubwa snUlitaka atumie ndege ya nani?
Hayupo mle looh! Wenye kazi yao walishafanya yao kitamboo doh.Waziri mkuu wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa leo amewasili Chato kwenda kumsalimia mama wa hayati rais Magufuli ambaye ni mgonjwa kwa muda mrefu, pia Mh Majaliwa ataenda kuangalia kaburi la Magufuli na kusalimiana na wanafamilia.
View attachment 1773308
Mzimu wa jamaa unawasumbua sana ccm.Jamani acheni aende mbona mnawapangia watu kupenda anachoamini ?Kwenda kumsalimia huyo Mama nayo nongwa CHADEMA mna shida gani?
Ndio anatumia ndege ya serikali na hakuna ndezi yoyote atafanya kitu. Anaemaindi ajipime oil.Yaani anaenda kwenye shughuli za chama anatumia ndege ya serikali? hii ni dharau kubwa sn kwa watanzania.
Kwani aliyeanzisha hii mada ni CHADEMA au ni yule mlamba nyayo wa CCM!Jamani acheni aende mbona mnawapangia watu kupenda anachoamini ?Kwenda kumsalimia huyo Mama nayo nongwa CHADEMA mna shida gani?
Serikali inaongozwa na Chama gani?Yaani anaenda kwenye shughuli za chama anatumia ndege ya serikali? hii ni dharau kubwa sn kwa watanzania.
Tunasubiri picha akiwa na mama magufuliWaziri mkuu wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa leo amewasili Chato kwenda kumsalimia mama wa hayati rais Magufuli ambaye ni mgonjwa kwa muda mrefu, pia Mh Majaliwa ataenda kuangalia kaburi la Hayati Magufuli na kusalimiana na wanafamilia.
View attachment 1773308
Atumie ndege ya ccmUlitaka atumie ndege ya nani?
Wacha!Kwenye kampeni za CCM atumie mali ya umma? nimekutukana tusi kubwa sn
Ipi?Hayupo mle looh! Wenye kazi yao walishafanya yao kitamboo doh.
Hivi kwanini ninyi watu mna chuki zilizokithiri dhidi ya hayati JPM?Mzimu wa jamaa unawasumbua sana ccm.