Uchaguzi 2020 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa achukua fomu ya kuwania tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa kupitia CCM

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,817
4,568
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha fomu ya kuwania tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa baada ya kuzichukua, kuzijaza na kuzirejesha, Julai 15, 2020. Kushoto ni Mkewe Mary Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

1594809589429.png
 
Majaliwa awamu ijayo naona nikiongozi atakayekuwa na wakati mgumu kwake kwa upepo wa kisiasa unavyoenda
 
Makonda ni naibu speaker ....Ndugai ni Makamu Mwenyekiti CCM ....Mangula anastaafu ....!! Inatafutwa ile kinga kutoshitakiwa ......atamuachaje??
 
Back
Top Bottom