Waziri mkuu azira kuzindua kituo cha afya

somijo

Senior Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
110
Reaction score
47
Katika kuonyesha ni namna gani wazir wetu mkuu alivo dhaifu!! Ameacha kuwachukulia hatua viongozi waliomdharau kwa kutotekeleza maagizo yake aliyowapa huko dodoma eti kaishia kuzira uzinduzi
Wanaouumia ni wananchi yeye ni mtendaji mkuu wa serikali!! Hivi ni kiongozi gani huyuuu??? Mweeee!!!
Source: Chanel 10 habari
 
Kama hajatoa mchozi basi ni mnafiki apigwe
 
badala ya kuzira alitakiwa achukue hatua sioni kama amefanya chochote sana sana anawapa kiburi
 
usanii tu, kuzira hakuna tofauti na kulia mbele ya bunge, tunataka kuona hatua inachukuliwa, mfano enzi za Lowassa hapo hakika watu hawana kazi saa hziz.
 
Akizira wenzake wala,shabash mimi nikajua waziri mkuu afuta kazi mtu kumbe kazira.Sasa kamziria nani wkt tunateseka?
 
usanii tu, kuzira hakuna tofauti na kulia mbele ya bunge, tunataka kuona hatua inachukuliwa, mfano enzi za Lowassa hapo hakika watu hawana kazi saa hziz.

Kiboko ya wote alikuwa Hayati Sokoine alitisha kama njaa, sidhani kama atakujatokea PM wa aina ile nchi hii, waliopo sasa hivi ni wasanii watupu
 
Sasa kama yeye kaZila nani wa kuchukua maamuzi ya uwajibishaji.

PINDA haijitambui kuwa yeye ni nani ndani ya nchi hii.
 
Katika kuonyesha ni namna gani wazir wetu mkuu alivo dhaifu!! Ameacha kuwachukulia hatua viongozi waliomdharau kwa kutotekeleza maagizo yake aliyowapa huko dodoma eti kaishia kuzira uzinduzi
Wanaouumia ni wananchi yeye ni mtendaji mkuu wa serikali!! Hivi ni kiongozi gani huyuuu??? Mweeee!!!
Source: Chanel 10 habari

Nchi hii ina vituko! Ipo kazi!
 
Inasikitisha sana kuona utendaji wa viongozi unakomea hapo!! Kuishia kuzira tuu!! Ni Tanzania tuu ndo inawezekana kuwa na kiongozi wa namna hii
 
Apigwe tu tumechoka naye!!!
 
Huyu Mzee ana utendaji mbaya Kama sura yake. Ananiudhi
 
Hapa Pinda amebuma kuzira ili iweje sasa wananchi waendelee kuteseka may be kuna hatua ataichukua.
 
Katika kuonyesha ni namna gani wazir wetu mkuu alivo dhaifu!! Ameacha kuwachukulia hatua viongozi waliomdharau kwa kutotekeleza maagizo yake aliyowapa huko dodoma eti kaishia kuzira uzinduzi
Wanaouumia ni wananchi yeye ni mtendaji mkuu wa serikali!! Hivi ni kiongozi gani huyuuu??? Mweeee!!!
Source: Chanel 10 habari

Kama ni kweli basi huyu waziri mkuu anamatatizo aidha anapelekeshwa na wenye mamlaka juu yake au ni mwoga
 
yani huyu na bilal hawana tofauti ila bora waziri mku angekuwa bilal mara 10 zaidi, wote hawako sirias wanapoongea
 
Hapa Pinda amebuma kuzira ili iweje sasa wananchi waendelee kuteseka may be kuna hatua ataichukua.

Atakuwa amekwenda kulilia kwenye land cruiser si unajua ipo tinted
 
Kiboko ya wote alikuwa Hayati Sokoine alitisha kama njaa, sidhani kama atakujatokea PM wa aina ile nchi hii, waliopo sasa hivi ni wasanii watupu

Na angekuwa hai saa hizi angekuwa kesha pelekwa Mabwepande
 
kila siku huwa nasema ccm ni janga la kitaifa lakini watu hawaelewi,kujizira kiongozi mkubwa kama huyu ni janga,kawaida yake huwa ni kulia machozi
 
Hili nalo ni zo m.bi la nchi wakuu,kumbe ndio maana hata dhaifu la magogoni huwa hampi
nafasi ya kiutendaji.
C.c.m ni janga la taifa.
 
Back
Top Bottom