Waziri Mkuu wa Tanzania awasili Uingereza

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,049
Reaction score
843
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Leo 7 Oktoba 2026, amewasili Nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza.

Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana wadau, wawekezaji na viongozi wa kampuni mbalimbali katika sekta za madini, benki, Teknolojia, usafirishaji na miundombinu, kwa lengo la kuimarisha na kutangaza fursa za Biashara na Uwekezaji.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba Leo 7 Oktoba 2026, amewasili Nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa jukwaa la uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza.

IMG-20261007-WA0021.jpg

Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana na wadau, wawekezaji na viongozi wa kampuni mbalimbali katika sekta za madini, benki, teknolojia, usafirishaji na miundombinu, kwa lengo la kuimarisha na kutangaza fursa za biashara na uwekezaji.
IMG-20261007-WA0012.jpg
IMG-20261007-WA0020.jpg
 
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗔𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜 𝗨𝗜𝗡𝗚𝗘𝗥𝗘𝗭𝗔

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba Leo 7 Oktoba 2026, amewasili Nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa jukwaa la uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza.

Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana na wadau, wawekezaji na viongozi wa kampuni mbalimbali katika sekta za madini, benki, teknolojia, usafirishaji na miundombinu, kwa lengo la kuimarisha na kutangaza fursa za biashara na uwekezaji.
kila la kheri PM dr. MWIGULU :NoGodNo:
 
07 October 2026

Tanzania Investment Forum 2026​

Date: 8 October 2026 (13:30–17:30 BST), with bilateral meetings spanning 6–9 October 2026.
  • Location: London, United Kingdom.
  • Conveners: High Commission of the United Republic of Tanzania in the UK, Invest Africa, and NMB Bank Plc as the strategic organising partner
Priority Growth Sectors :

  • Critical Minerals and Mining

  • Energy and Renewable Energy

  • Infrastructure, Transport, and Logistics

  • Agribusiness and Food Processing

  • Manufacturing and Industrial Developmen
In addition, the Forum will facilitate targeted business-to-business B2B and business-to-government B2G meetings, designed to accelerate partnerships, support deal origination and connect investors with key Tanzanian decision-makers.

Convened by the High Commission of the United Republic of Tanzania in the United Kingdom and delivered in partnership with Invest Africa, the Tanzania Investment Forum 2026 will bring together senior government representatives, international investors, development finance institutions and business leaders to explore Tanzania's rapidly expanding investment landscape and the opportunities emerging across its priority growth sectors.

As one of Africa's fastest-growing economies, Tanzania continues to sustain GDP growth of 5–7%, underpinned by economic reforms, political stability and an ambitious Vision 2050 agenda. Hosted by the High Commission, the Forum will provide a platform for investors to engage directly with Tanzanian policymakers and business leaders, gain insight into the country's national investment priorities, and identify opportunities for partnership and capital deployment.
 
View attachment 3686236
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba Leo 7 Oktoba 2026, amewasili Nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa jukwaa la uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza.

View attachment 3686235
Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana na wadau, wawekezaji na viongozi wa kampuni mbalimbali katika sekta za madini, benki, teknolojia, usafirishaji na miundombinu, kwa lengo la kuimarisha na kutangaza fursa za biashara na uwekezaji.
View attachment 3686232View attachment 3686234
Acheni huu ujinga, mnajichosha bure..nani aje kuweka mtaji wake mahali ambapo kuna mabishano na mafarakano kwa kiwango hiki cha sasa..? Hata Mzee Dangote kapeleka refinery Kenya kwa sabb hakuna utulivu hapa..mafarakano haya si ya kuisha kesho ni hadi pale hawa watawala wataondolewa b t kwa nguvu au kwa kura..sasa kwa mwekezaji anayeona mbele km waliokuleta wataondolewa, wewe/mwekezaji utakuwa wapi..?
Wawekezaji wanaoweza kuja Tanzania kwa sasa ni wa aina ya rostam..ambao mtaji wanaoweka umepatikana kimagumashi..ACHENI HUU UJINGA WA SIJUI KUITA WAWEKEZAJI..hakuna atakayekuja kwa sasa..wasioijua Tanzania Dangote ndio barometer yao!
 
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Leo 7 Oktoba 2026, amewasili Nchini Uingereza ambapo atakuwa mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Jukwaa la Uwekezaji la Tanzania nchini Uingereza.

Katika ziara hiyo, Waziri Mkuu pia ataongoza ujumbe wa Tanzania kukutana wadau, wawekezaji na viongozi wa kampuni mbalimbali katika sekta za madini, benki, Teknolojia, usafirishaji na miundombinu, kwa lengo la kuimarisha na kutangaza fursa za Biashara na Uwekezaji.

Siku nyingine aache hilo tambara lake analovaa shingoni. Nchi zote zina bendera za taifa.
 
Back
Top Bottom