Waziri mkuu akiri watu wanakufa na njaa monduli/arusha

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
Kwa wanaoangalia ITV mh waziri mkuu amekubali kuwasaidia watu wanaokufa kwa ajili ya njaa akiongea kwa masikitiko mh pinda amesema ajamini hali hii iko kwa watu wa arusha kwa zaidi ya miaka mitatu...huku wakionyesha ngombe zikiwa zinakufa na kunyanyua miguu kama bata amesema hakika ni jambo la kuhuzunisha ...nasikia waotot wanakunywa uji mapaka usikua tena ..kwa niaba ya serika naomba jambo hili nitalifuatilia na wale watoto ndio walioniumiza zaidi uwezi kwenda shule na uji tu...na kurudi usome salama....mh pinda alikiri haya ni maafa tunaitaji kuwasaidaa....mmmmh haya pinda huko ndiko kwa x-pinda sasa yeye kashindwa akiwa madarakani sijuia weye wa rukwa...maana yeye anatokea huko uko na kapewa na urais wa monduli wa heshima
 
Monduli ni moja ya majimbo ya richest MPs yet watu wanakufa njaa!!! kweli hii ni soo
 
Ajiuuzulu sasa kukiri kunatusaidia nini sisi..huyu PM ni zero kabisa..ameshindwa kazi ya utekelezaji wa shughuli za kiserekali ambapo yeye ni leader..lol
 
Monduli ni moja ya majimbo ya richest MPs yet watu wanakufa njaa!!! kweli hii ni soo

hii mifisadi kweli mapunguani badala ya kula na vipofu wa jimbo lake anaishia kujaza majumba hapa dar na kukodishia mibalozi blal shit...huyu mtu atachomwa moto wa peke yake kwa kweli...
 
Acha wafe. Si wana MKOMBOZI aliye MWANAUME wa SHOKA?

Na walivyompokea kwa MIKOGO na chereko? Ukipanda upupu unataka uvune nini?

Hii ndiyo inatakiwa kuwaambia watu kuwa "wazidi tu kuwachagua walewale mafusadi".

Sasa hivi wenzao wanakusanya na kutunza hela kwa ajili ya Pilau na Tshirt watagazowagaia hao watakaonusurika na kifo hapo mwakani.

Inauma, ila ukweli ndiyo huo.
 
Ndio mtakavyo wafanya watanzania mkichukua nchi.wewe na slaa..mungu atuepushe na hawa madicteta kabla hata ya kupewa dola..nuksi kwel.
 
Sasa anakiri nini..? Ebo...!! badala ya kuutumia wadhifa wake na kuziwajibisha wizara husika katika hayo matukio....watu wapate ahueni...!!!!:mad:
 
Acha wafe. Si wana MKOMBOZI aliye MWANAUME wa SHOKA?

Na walivyompokea kwa MIKOGO na chereko? Ukipanda upupu unataka uvune nini?

Hii ndiyo inatakiwa kuwaambia watu kuwa "wazidi tu kuwachagua walewale mafusadi".

Sasa hivi wenzao wanakusanya na kutunza hela kwa ajili ya Pilau na Tshirt watagazowagaia hao watakaonusurika na kifo hapo mwakani.

Inauma, ila ukweli ndiyo huo.

kweli hii kali ya siku
 
Mbona JK alitamka kwamba hakuna M - TZ atakaye fariki kwa njaa? Sasa hawa wa Monduli wanatoka katika jimbo gani nchini TZ au ni wa Afrika Mashariki ambapo bado Rais anayehusika moja kwa moja na wao hajatambulikana?

Sasa kama baba anasema mtoto hawezi kufa kwa njaa, halafu akapprove failure, huyo ni baba serious kabisa au wa kambo asiye na upendo?
 
tunachohitaji ni utendaji wa kazi yes kaonyesha kasikitishwa kwa machozi yake
lakini kinachohitajika hapo ni msaada wa haraka
 
Hee!!? Monduli of all places. With the richest Mbunge in their midst. Kwa nini hakuwashauri wauze baadhi ya mifugo mapema kabla ya janga? Hiyo pesa wangenunulia chakula kutoka mikoa mingine au Kenya? Kwa kweli huyo mbunge anatakiwa ajiuzulu.

Kwa sisi wengine tunaoangalia matukio kwa jicho mla kiroho. Hiyo ni laana kwa wakazi wa Monduli kumchagua mbunge ambaye sasa hivi wapambe wake wamejitoa kuivuruga na kuichafua nchi. Monduli tuhaitaji maombi ya toba. Jamani yuko wapi Mwakasege awaelimishe hawa watu. La sivyo wote wataperish. Biblia inasema " Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maono". Hamuelewi????
 
Ajiuuzulu sasa kukiri kunatusaidia nini sisi..huyu PM ni zero kabisa..ameshindwa kazi ya utekelezaji wa shughuli za kiserekali ambapo yeye ni leader..lol

Ndio mtakavyo wafanya watanzania mkichukua nchi.wewe na slaa..mungu atuepushe na hawa madicteta kabla hata ya kupewa dola..nuksi kwel.

Kwanza uwe na adabu ya kuandika majina ya watu na Mungu. Siyo kuandika kwa herufi ndogo na PM unamwandika kwa herufi kubwa. Shame to all waalimu waliokufundisha na kukupa cheti eti umefaulu. Wewe ukijilinganisha na PM, nani ana nafuu? Wamwita mwenzio Zero wakati wewe siku nzima uko hapa ukiandika. NATO WEEE!!!!

PM ni mpole unamiwta ZERO. Slaa ni mkali unamwita Dictator. Wenzetu Wachina sasa wanasema open, demokrasi inaweza kwenda kuzimu. Mwizi anachapwa risasi. Nchi inaendelea kwa kasi ya ajabu. Maisha yao yanazidi kupanda kila siku. Tanzania je? Haya, kalaga baho na mdhamini wako EL na RA ila ipo siku watafuata nyayo za Wababe wote waliodhani watatawala milele. Ndipo kutakuwa na kulia na kusaga meno.

Hao wa Monduli unataka kuwasaidia vipi? Mbona Lowassa ambaye ni Mbunge wao hajalia kuwa kwake kuna njaa? Anasubiri hadi PM aje ashuhudie kuwa kuna njaa? Kama Monduli wanamuona kuwa huyo nidyo mbunge, they can carry on. Sasa wakifa njaa kwa uzembe wa mbunge wao waliyemchagua wenyewe, kosa la nani? Tanzania ikikosa umeme kwa uzembe wa viongozi tuliowachagua wenyewe, kosa la nani?

Ukipanda upupu, matunda ndiyo hayo, KIFO na GIZA.
 
Back
Top Bottom