dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,021
- 57,234
nyerere si aliwahi kuwa waziri mkuu au ? nachanganya mafaili
Julius K Nyerere alipata kuwa Waziri mkuu. Soma historia
Hoja ya msingi hapa ni ukuu wa nchi; yaani mamlaka ya mwisho katika nchi. Kwa titles zote mbili PM na Rais, Nyerere alikuwa Mkuu wa Nchi. Kinachogomba hapa ni mtu kutoka uPM kuwa Rais na wanatoa mfano wa Nyerere wakati Nyerere akiwa PM alikuwa Mkuu wa Nchi na akiwa Rais alikuwa Mkuu wa Nchi.
Pengine hoja ingeeleweka na wenye akili ndogo kama ingesomeka "hakuna aliyewahi kuwa Waziri Mkuu kisha akawa Mkuu wa Nchi"; asiyeelewa tena atakuwa na matatizo.