Waziri Mkuu aitisha kikao cha Mawaziri

Waziri Mkuu aitisha kikao cha Mawaziri

maji ya mvua ya jana yamewekwa kwenye chupa za kilimanjaro..chezeavkubana bajeti wewe
 
ila chini ya waswahili wazee wa fitina itawezekana kwa kuwa ni kijana wao keep my word
 
kikao halali cha baraza la mawaziri hakihusishi manaibu waziri
 
Hiyo ni semina elekezi ktk sura nyingine! Wasidanganye watu ati kikao cha baraza la mawaziri.
 
Back
Top Bottom