Waziri Mkuu aitisha kikao cha Mawaziri

Waziri Mkuu aitisha kikao cha Mawaziri

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,096
attachment.php

attachment.php

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Naibu Mawaziri katika kikao cha kwanza cha kazi
cha Baraza la Mawaziri alichokiitisha Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15, 2015.


attachment.php

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama
wakati alipomkaribisha kuzungumza katika kikao cha kwanza cha baraza la kazi la Mwaziri,
Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15,2015.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

Attachments

  • barazala.JPG
    barazala.JPG
    23.1 KB · Views: 10,110
  • IMGS5561.JPG
    IMGS5561.JPG
    24.5 KB · Views: 10,420
  • IMGS5554.JPG
    IMGS5554.JPG
    17.6 KB · Views: 9,851
Nimetokea kumkubali waziri mkuu majaliwa, I hope Magufur atamwachia kijiti baada ya kumaliza muda wake
 
mbona hiyo meza na viti ni kutoka mashariki ya mbali?Ndio serikali ya viwanda hii?
 
Baraza dogo kweli ila watumbuaji na makada wengi wa ccm
 
Nasikia wameambiwa wale makwao washibe hapo kwenye kikao ni maji tu..hakuna cha juis wala soda
 
Nyerere hakuwa waziri mkuu?

Nyerere hakuwahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania, Nyerere alikuwa ni waziri mkuu wa Tanganyika tena kipindi ambacho Tanganyika haikuwa na rais hivyo Waziri mkuu ndio ilikuwa Post ya juu kabisa kisiasa.

Kwa kifupi kabisa, Hakuna waziri mkuu wa Tanzania ambaye alifanikiwa kuja kuwa rais wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom