Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
Wafunge mipaka waache porojo na kutafuta sababu za kuahirisha uchaguzi.
Anajiita kwaya master sio kik master.
Dr. Janabi is the Executive Director of the Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI), Dar es Salaam
Head, and Physician to former President of United Republic of Tanzania.
Dr. Janabi has a rich training history of truly global proportions. Dr. Janabi is a graduate of the Kharkov Medical Institute (Russia), Liverpool School of Tropical Medicine (England), University of Queensland Medical School (Australia), Graduate School of Medicine Osaka University Hospital (Japan), and Bergen University (Norway).
Dr. Janabi is involved in several research projects and is the principal investigator on Atrial Fibrillation study RELY (Multi national), and the Principal Investigator TB/HIV study (multi national). Dr Janabi is also the in country director for Madaktari Africa. Dr. Janabi is also the host of the East African Cardiology Conference and lead on starting the first ACC chapter in Africa. Source: Bio sketches
Hata baba ama mama anaweza akaitoa taarifa ya familia yake public ikaelewa.Msemaji mkuu kitaifa ni Rais wa JMT
Wasemaji wakuu wa kisekta ni mawaziri
Wasemaji wakuu wa kiutendaji ni makatibu wakuu
Wasemaji wakuu wa Taasisi ni wakuu wa Taasisi
Wasemaji wakuu wa territories ni wakuu wa mikoa kwa mikoa na wakuu wa wilaya kwa wilaya.
Hivyo wakuu wa mikoa ya Arusha na DSM had all the rights kuongelea Corona mikoa yao.
The right to information inatoa fursa kwa kila mtu kuwa msemaji wa eneo lake.
P
Amepiga marufuku mikutano ya siasa, Kwa kipindi chote cha angalizo la Corona, anawasubiri wale wenye kichwa ngumu kama nazi, wanaofanya fujo hata kwenye magerezaBashite je
Mkuu,mwambie P.Mayalla ambae naye kwa sasa anataka kujipa cheo cha Naibu msemaji Mkuu wa Serikali.Kuhusu taarifa za corona umeshaambiwa hakuna cha mkuu wa mkoa wala wilaya, msemaji ni Waziri wa Afya au Waziri Mkuu au Makamu wa Rais au Rais mwenyewe.
Je Prof Janabi alikuwa na kibali maalum? Maana ameongea TBC live kwenye habariMarch 21, 2020
Dokta bingwa Mohamed Janabi : CORONA: "Kuvaa Maski WATU WACHACHE HAKUSAIDII, AHIRISHA KILA KITU, Ni HATARI mara 10!"
Kabisa, maana sasa kila mtu ni msemaji wa coronavirus , sanitizer na vikohozi.
Serikali ijenge utaratibu Waziri wa Afya kila siku saa kumi na mbili jioni awe anatoa taarifa kuhusu idadi ya wagonjwa waliogundulika kuwa na maambukizi, maeneo na ushauri juu ya jinsi ya wananchi kunawa mikono mara kwa mara na sabuni na kuepuka misongamano.