Waziri Mkuu aainisha utoaji taarifa rasmi za coronavirus

March 22, 2020
Moshi, Kilimanjaro
Tanzania

KISA CORONA, KAMPUNI ZA UTALII ZAPEWA MASHARTI YA KUWALETA WAGENI NCHINI..



Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amezitaka Taasisi na mashirika wanaohusika na kuwaleta watalii Mkoani Kilimanjaro wahakikishe wanapima kwanza corona ndipo waweze kupewa ruhusa ya kuingia kw shughuli za kitalii

Source : Global TV online
 
Back
Top Bottom