Waziri mkuchika na waalimu waliolipwa wakatokomea

Campana

JF-Expert Member
Dec 2, 2008
207
40
Waziri Mkuchika amewataka waalimu waliolipwa fedha za serikali kisha wakatoweka vituoni kuzirejesha.

Jambo hili ni gumu kwa serikali kulifuatilia, sawa na mikopo kwa wanavyuo walio kwenye sekta binafsi.

Nadhani serikali inatakiwa kuboresha mazingira ili yawavutie waalimu wapya badala ya kuwatisha. Shule binafsi zinawahitaji, na wengine wanabadilisha taaluma kabisa.
 
Back
Top Bottom