Waziri Menejimenti ya Utumishi wa Umma: Lugha ya malkia Elizabeth, mhhhhh!

Kwa nini viongozi wetu hawaenzi lugha yao? Ufaransa, China, Urusi, Ujerumani, Uholanzi, Sweden, Norway, etc wanatumia lugha zao! Nenda Japan, Korea, Misri, Ethiopia,UAE etc wote wanatumia lugha zao!! Hata Rwanda, japo wanazungumza Kifaransa matumizi makubwa ni Kinyarwanda....sijui sis tatizo letu ni nini!!
Tatizo ni kutafuta sifa bila kujua kuwa badala ya sifa atapata aibu! Kwa kweli alitia aibu!
 
Mbona wazungu wakikosea kiswahili hatuwajadili kama tunavyo mjadili Hawa Ghasia, au mnataka kujenga hisia kwamba lugha ya kiingereza ni bora kuliko kiswahili? Mbona Maximo, yule mbrazil aliyefundisha timu yetu ya taifa alikuwa anaongea kiingereza kibovu kuliko cha Hawa Ghasia hakuna aliye mcheka au kumjadili. Kwani kujua kiingereza ndio usomi wenyewe au ndio kigezo chakuwa kiongozi bora?
 
hakuna aliyemcheka. Suala hapa ni kwa nini alazimishe kuongea lugha ambayo haiwezi. Zaidi ya yote alikuwa akiwahutubia watanzania zaidi na si hao wenye lugha hiyo. Suala la kuwa ametia aibu haliepukiki hapa.
 
Mkuu, kukosea kusoma lugha ya kigeni ni aibu? kwanza fahamu kuwa hotuba hiyo alitayarishiwa na wasidizi wake, kwa hiyo sio ajabu kuona hakuisoma "fluently". Tukubaliane kwamba lugha ambayo haipo katika utamaduni wako(culture) sio ajabu kuikosea, hivyo ikitokea kwanini tuone aibu?Je unataka kuniambia ujumbe haukuwafikia walengwa?
 
Acha umbea na majungu..onyesha au leta evidence wapi mama amekosea katika hotuba yake ikiwa wewe ni mkweli....

Unakuja na perception yako na mke wako ukiwa umejificha kwenye chuki zako ...leta evidence au audio sisi tutaamua ikiwa amekosea au la?

Kwa sasa unastahili kuwekwa kwenye kundi la wazushi, wongo, wenye chuki binafsi..
 
Hivi walengwa walikuwa ni akina nani?
 
Acha umbea na majungu..onyesha au leta evidence wapi mama amekosea katika hotuba yake ikiwa wewe ni mkweli....

Unakuja na perception yako na mke wako ukiwa umejificha kwenye chuki zako ...leta evidence au audio sisi tutaamua ikiwa amekosea au la?

Kwa sasa unastahili kuwekwa kwenye kundi la wazushi, wongo, wenye chuki binafsi..

Hebu sema wewe ni "wapi hakukosea".
 
Lema nae mtupu pamoja na Mbowe, Lema kuna siku karopoka mpaka Zitto akainama chini, Lema alisema serikali inabidi wajenge Skyover
 
Jamani Hawa Ghasia si alishasema kikao cha bunge liliopita kuwa yeye ni mtoto mdogo sana na alikuwa primary wakati mambo mengi muhimu yakifanyika?

"Topical
user-online.png

JF Senior Expert Member
Acha umbea na majungu..onyesha au leta evidence wapi mama amekosea katika hotuba yake ikiwa wewe ni mkweli....

Unakuja na perception yako na mke wako ukiwa umejificha kwenye chuki zako ...leta evidence au audio sisi tutaamua ikiwa amekosea au la?

Kwa sasa unastahili kuwekwa kwenye kundi la wazushi, wongo, wenye chuki binafsi.. "
 
Kweli kuna watu wana mawazoo finyu kiasi hiki?Tulidhani ungetuambia alichokuwa anakisema hakileti sense yoyote au hakina maana unatumbia habari ya Lugha?What is language?just a medium of communication.FULL STOP!!! Mchina asipojua Kiswahili ni Mjinga,Mchaga asipojua Kihaya ni Mjinga,Mhaya asipojua kingoni ni mjinga !This is Non-sense!!!!!

''LANGUAGE IS NOT COMPETANCE''

English inaweza kumtibu Mtu?
English inaweza ku design Mabarabara
English ni Lugha ya Kimataifa sawa,but Kamwe kisiwe kipimo cha kumpima maarifa ya mtu,tunachohitaji kutoka kwa mtu ni Ujuzi na maarifa yake na si Lugha.

Funga mjadala huu,hauna maana yoyote hapa.
 
Lema nae mtupu pamoja na Mbowe, Lema kuna siku karopoka mpaka Zitto akainama chini, Lema alisema serikali inabidi wajenge Skyover

Hiii lugha hiii itaibua mengi!! Skyover ndio nini tena mkuu? Lema naye si ni waziri au?
 
Hebu sema wewe ni "wapi hakukosea".

Wewe kweli bingwa umbea, uzushi, chuki...umekosa evidence unataka mimi nikusaidie ..lol

Umeleta hoja mwenyewe tuletea evidence video inayoonyesha huyo mama kakosea......

sisi wengine hatubahatika kusikiliza hotuba hiyo..download hapa JF tuione tujadili tuone kama kakosea...otherwise

wewe ni lile kundi la wazushi, umbea, majungu..na above all chuki binafsi..kama wewe na mke wako hampendi itabaki kuwa shida zenu wenyewe mnastahili pole...
 
Kwa wale walioangalia maadhimisho ya miaka 50 ya Utumishi wa umma mtakubaliana na mimi mh. waziri wa wizara hiyo lugha gongana. Mimi niliyekuwa namsikiliza hadi niliona aibu jinsi alivyotuaibisha tena mbele ya wenye lugha yao. Na hapo alikuwa akisoma kwenye makaratasi. Angekuwa anazungumza moja kwa moja sijui ingekuwaje. Ni bora angeongea katika lugha anayoijua. Yaani ilikuwa balaa.

Angeongea kiswahi kwa tabu hapo ungemcheka! Lakin kama ni lugha ya malkia sio ya kwake,mbona kuna watu hauwaijui kabisa,Raisi wa China n.k.KIINGEREZA SIYO KILA KITU MKUU.
 
Kweli kuna watu wana mawazoo finyu kiasi hiki?Tulidhani ungetuambia alichokuwa anakisema hakileti sense yoyote au hakina maana unatumbia habari ya Lugha?What is language?just a medium of communication.FULL STOP!!! Mchina asipojua Kiswahili ni Mjinga,Mchaga asipojua Kihaya ni Mjinga,Mhaya asipojua kingoni ni mjinga !This is Non-sense!!!!!

''LANGUAGE IS NOT COMPETANCE''

English inaweza kumtibu Mtu?
English inaweza ku design Mabarabara
English ni Lugha ya Kimataifa sawa,but Kamwe kisiwe kipimo cha kumpima maarifa ya mtu,tunachohitaji kutoka kwa mtu ni Ujuzi na maarifa yake na si Lugha.

Funga mjadala huu,hauna maana yoyote hapa.
Tartibu mkuu,
Angesoma kimakua ingekuwa poa zaidi.
 
Wewe kweli bingwa umbea, uzushi, chuki...umekosa evidence unataka mimi nikusaidie ..lol

Umeleta hoja mwenyewe tuletea evidence video inayoonyesha huyo mama kakosea......

sisi wengine hatubahatika kusikiliza hotuba hiyo..download hapa JF tuione tujadili tuone kama kakosea...otherwise

wewe ni lile kundi la wazushi, umbea, majungu..na above all chuki binafsi..kama wewe na mke wako hampendi itabaki kuwa shida zenu wenyewe mnastahili pole...

Taratibu basi.
mapovu ya nini?
naona umevamia ukidhani tunazungumzia hoja ya udini hapa. tehe tehe tehe.
hapo kwenye red: Ni wapi katika hii thread nimemuhusisha mke wangu au domo lako tu ndo limeamua kupayuka hivo. Pole sana kijana. Yote kwa yote mapovu yako hayatabadilisha ukweli kuwa bibie katia aibu jana. tehe tehe tehe....!
 
Angeongea kiswahi kwa tabu hapo ungemcheka! Lakin kama ni lugha ya malkia sio ya kwake,mbona kuna watu hauwaijui kabisa,Raisi wa China n.k.KIINGEREZA SIYO KILA KITU MKUU.

Kulikuwa na haja gani kutumia lugha hiyo hali hadhira lengwa asilimia kubwa haiielewi lugha hiyo. Ukweli ni kuwa alitaka kuleta mashauzi mbele ya wazungu kuwa na yeye yumo. Unapotaka kujionesha kuwa kitu unakijua mbele ya wanaokijua inabidi ukijue kweli. Kwa huyu bibiye ilikuwa kinyume, alitaka kuwaonesha wenye lugha yao kuwa anaifahamu tena pengine kuliko wenye lugha yao, bahati mbaya akaishia kwenye aibu. Hoja iko hapo.
 
Taratibu basi.
mapovu ya nini?
naona umevamia ukidhani tunazungumzia hoja ya udini hapa. tehe tehe tehe.
hapo kwenye red: Ni wapi katika hii thread nimemuhusisha mke wangu au domo lako tu ndo limeamua kupayuka hivo. Pole sana kijana. Yote kwa yote mapovu yako hayatabadilisha ukweli kuwa bibie katia aibu jana. tehe tehe tehe....!

Umeanza kuonyesha gamba lako halisi bila kuulizwa sasa leta evidence ikiwa wewe ni mtu anayesema ukweli leta audio JF waamue ...vinginevyo ni uzushi, umbea unauleta kwenye hapa kwenye kadamnasi...

Ukweli unabaki kuwa wewe huna evidence yoyote ile kwamba mama kakosea zaidi ya chuki zako binafsi ..mtalia sana mwaka huu....
 
Soma kuanzia post ya kwanza uone ni wangapi wamethibitisha hilo. Nao wana chuki binafsi....? tehe tehe tehe bora nizungumze kindengereko miye.
 
Back
Top Bottom