Waziri Mchengerwa: Nilipewa bajeti ya dola laki 5 ili kununua basi moja la mwendokasi

Waziri wa Tamisemi Mh Mchengerwa amesema alishangazwa baada ya kuletewa bajeti ya manunuzi ya dola laki 5 kwa basi moja la mwendokasi !
Mchengerwa aliifutilia mbali hiyo bajeti baada ya kubaini ni sawa na kununua behewa la treni.

My take
Hawa wapigaji mbona hawachukuliwi hatua?
Rais Samia pia alishawahi kulalamika na kutukana stupid baada ya kugundua bei ya ndege imeongezwa mara 3 zaidi!

Pia uwanja wa mpira utakaojengwa Arusha ambao utakuwa mdogo kabisa wenye uwezo wa kuingiza watu elfu 30 tu kama ule wa New Amaan Zanzibar, bajeti yake imetengwa billion 286 !, hela ambayo ni nyingi mara nne kuliko uwanja wa Mkapa ambao unauwezo wa kuingiza watu zaidi ya elfu 60!

Je tabia hii ya kuongeza bei ya miradi tungeweza kweli kuhamishia serikali na kujenga ikulu Dodoma, kujenga bwawa ?
Chama Cha Majizi
 
Mpaka unajiuliza hawa watu ni kina nani ambao hata rais mwenyewe anawagawaya? Au ni wale ambao anakula nao urefu wa kamba zao sasa labda unakuta wamezidisha kamba sasa kinachotokea unajikuta unalalamika na kutukana kimoyo moyo ambapo kuwachukulia hatua huwezi sababu wote ni wachafu mnajuana

Inasikitisha
 
Teuzi za kindugu, kama wanaishia kulalamika bila kuchukua hatua nani anapaswa kuchua hatua?
 
Waziri wa Tamisemi Mh Mchengerwa amesema alishangazwa baada ya kuletewa bajeti ya manunuzi ya dola laki 5 kwa basi moja la mwendokasi !
Mchengerwa aliifutilia mbali hiyo bajeti baada ya kubaini ni sawa na kununua behewa la treni.

My take
Hawa wapigaji mbona hawachukuliwi hatua?
Rais Samia pia alishawahi kulalamika na kutukana stupid baada ya kugundua bei ya ndege imeongezwa mara 3 zaidi!

Pia uwanja wa mpira utakaojengwa Arusha ambao utakuwa mdogo kabisa wenye uwezo wa kuingiza watu elfu 30 tu kama ule wa New Amaan Zanzibar, bajeti yake imetengwa billion 286 !, hela ambayo ni nyingi mara nne kuliko uwanja wa Mkapa ambao unauwezo wa kuingiza watu zaidi ya elfu 60!

Je tabia hii ya kuongeza bei ya miradi tungeweza kweli kuhamishia serikali na kujenga ikulu Dodoma, kujenga bwawa ?
Tatizo hao waliopeleka hiyo "bajeti" bado wako ofisini! Fukuza na ijulikane wamefukuzwa kwa uzembe wa kulinda mali ya umma
 
Mpaka unajiuliza hawa watu ni kina nani ambao hata rais mwenyewe anawagawaya? Au ni wale ambao anakula nao urefu wa kamba zao sasa labda unakuta wamezidisha kamba sasa kinachotokea unajikuta unalalamika na kutukana kimoyo moyo ambapo kuwachukulia hatua huwezi sababu wote ni wachafu mnajuana
sahihi kabisa. yote ni mamoja hayo majambazi hata rais mwenyewe ni jambazi wa mali za umma.
 
Hapo kwenye uwanja wa mpira wa Arusha kujengwa kwa bil 286 nilishangaa sana, hiyo gharama kubwa sana jamani kwa kiwanja cha watu 30,000

Mh. Rais Samia hapa inafaa aangalie upya hii ya uwanja wa mpira wa Arusha kuna mashaka sana sana, hela nyingi mno
Wafanye auditing kuhusu hii budget kabla ya hela hazijatoka wasichezee pesa za wananchi namna hii , magufuli nakumbuka machinjio ya vingunguti alienda na akawachana wahusika kwamba budget yenu kubwa ukilinganisha na jengo , tunamuomba mama yetu maswala ya pesa awe anafanya uchunguzi binafsi amezungukwa na wezi
 
Yuko Dubai anakula raha
 
SASA MNASHANGAA NINI MBONA NDIO MAISHA YAO HUKO HALMASHAURI ZOTE NCHINI KATIKA VITENGO VYA UNUNUZI KALAMU MOJA NA DAFTARI WANAWEZA KUANDIKA ELFU 10. BUDGET IKIPITISHWA WAHUNI WANAGAWANA ! JAMAAA UTAPELI UPO KWENYE MIOYO YAO
 
Wansemaga serikali ni shamba la bibi, Hiyo ni kabla hata Bibi yetu hajaingia, Kuifupi kuzuia upigaji kwa mwanadamu ni kazi kubwa sana, huwa nawaangalia wachina wanavyoiba kwenye makumpuni yao huku Bongo maana wanajua wasipoibia hapa Bongo China wanaweza Kunyongwa.
 
Back
Top Bottom