Waziri Mbarawa: Hakikisheni watumishi wote wanatumia Electronic attendance

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
W2.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof. Makame Mbarawa amezungumzia umuhimu wa taasisi zote za Serikali kuwa na mfumo wa mahudhurio kwa njia ya kielekroniki (Electronic Attendance Registration (EAR)).

Akizungumza mara baada ya kujisajili katika ofisi za sekta ya mawasiliano Prof. Mbarawa amesema kwa kuanzia utaratibu huo utaendelezwa katika sekta Uchukuzi na Ujenzi na kisha utafungwa katika taasisi zote za Serikali ili kuhakikisha watumishi wa umma wanafika ofisini kwa wakati na kupunguza utoro.

“Hakikisheni watumishi wote wanatumia mfumo huu wa kielektroniki ili kudhibiti utoro na kuwezesha wafanyakazi kufanyakazi kwa muda unaokubalika kiserikali”, amesema Waziri Prof. Mbarawa.

Aidha Waziri Mbarawa amewataka wafanyakazi wa mapokezi kuacha kuwafungulia wafanyakazi watoro na wanaochelewa kazini kuingia ofisini ili kuwezesha mfumo kutambua watumishi watoro na hivyo kuchukuliwa hatua stahiki.

Amesisitiza kuwa mfumo huo utakapofungwa katika taasisi zote za umma utadhibiti watoro kwa kuwa unaweka kumbukumbu ya muda mtu anaokuwa kazini na hivyo kuwawezesha viongozi kupata taarifa sahihi za mahudhurio.
W3.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa akifungua mlango kwa kutumia mfumo wa mahudhurio wa elektroniki baada ya kujisajili.

W4.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa akisaini kitabu cha mahudhurio baada ya kujisajili katika mfumo wa mahudhurio wa elektroniki katika ofisi za sekta mawasiliano.

IMETOLEWA NA KITENGO CHA HABARI NA MAWASILIANO SERIKALINI WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO.
 
W2.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Prof. Makame Mbarawa amezungumzia umuhimu wa taasisi zote za Serikali kuwa na mfumo wa mahudhurio kwa njia ya kielekroniki (electronic attendance registration (EAR)).

Akizungumza mara baada ya kujisajili katika ofisi za sekta ya mawasiliano Prof. Mbarawa amesema kwa kuanzia utaratibu huo utaendelezwa katika sekta Uchukuzi na Ujenzi na kisha utafungwa katika taasisi zote za Serikali ili kuhakikisha watumishi wa umma wanafika ofisini kwa wakati na kupunguza utoro.

“Hakikisheni watumishi wote wanatumia mfumo huu wa kielektroniki ili kudhibiti utoro na kuwezesha wafanyakazi kufanyakazi kwa muda unaokubalika kiserikali”, amesema Waziri Prof. Mbarawa.

Aidha Waziri Mbarawa amewataka wafanyakazi wa mapokezi kuacha kuwafungulia wafanyakazi watoro na wanaochelewa kazini kuingia ofisini ili kuwezesha mfumo kutambua watumishi watoro na hivyo kuchukuliwa hatua stahiki.

Amesisitiza kuwa mfumo huo utakapofungwa katika taasisi zote za umma utadhibiti watoro kwa kuwa unaweka kumbukumbu ya muda mtu anaokuwa kazini na hivyo kuwawezesha viongozi kupata taarifa sahihi za mahudhurio.
W3.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa akifungua mlango kwa kutumia mfumo wa mahudhurio wa elektroniki baada ya kujisajili.
W4.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa akisaini kitabu cha mahudhurio baada ya kujisajili katika mfumo wa mahudhurio wa elektroniki katika ofisi za sekta mawasiliano.

IMETOLEWA NA KITENGO CHA HABARI NA MAWASILIANO SERIKALINI WIZARA YA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO.
Wengine tumepanga majengo ya watu, hivyo vifaa tutaweka wapi?
 
Wizara imejaribu lakini tuangalie sana kazi kufanyika na malengo kufikiwa kikamilifu,unaweza kuwahi kazini lakini hakuna utendaji wowote wa maana unaofanywa. Hii wizara itufanyie mpango kutufufulia TRC,ATC,TTCL na POSTA(BENKI),MKONGO WA TAIFA na kutupunguzia gharama za simu nk
pengine aanze na haya ambayo ni kero kubwa katika kukuza uchumi Wa viwanda.
 
Wamechelewa sana,Biometric zipo mda mrefu sana Mie tangia nianze kazi 2007 natumia finger print kuingia mlangoni.
 
hiki kitu sio cha kuchukua miaka.Tuoeni zabuni maofisi yote yatapata huduma na kufungiwa tech kama hii.
lakni pia dumisha mapato wa wafanyakazi.Walipeni vizuri jamani! aii!!
 
Uwaziri kazi.Mcheki huyo mama anayemgongesha kidole waziri .Tumaziwa twake katuweka wazi kalengesha usawa wa macho ya waziri kuwa kwa hiyo ANGLE ya macho ya waziri lazima huto tumatiti atuone aamue mwenyewe kama atahitaji maelezo zaidi kuhusu hiyo teknolojia ya mahudhurio wakaongee vizuri ofisini wawili amfafanulie zaidi kwa karibu zaidi kuliko hapo alipo sasa.Yaani sijui hapo waziri anaangalia hicho kidole au anaangalia hayo matiti.Ni mtihani.

Kwa uvaaji na ubenuaji maziwa hivyo kuna watu uwaziri utawashinda LOOOOOO
 
Back
Top Bottom