...nimejiuliza sana hili swali na huyo jamaa anavyopenda kick imekuwaje kakwepa hiyo shughuli...??!!Hakun umuhimu ndyo maana hta magu mwenyewe kaona aibu kuweka jiwe la msingi kma kwaida yake kwenye project nyingine.
Ni wewe au mwingine?Ndio mjue aina ya kiongozi mnaemsifia.Hakuna umuhimu wowote!
Hivi hii kitu ni kweli, mi nilijua ni utani.
Pa kumsifu namsifu, ila kwenye hili kaboronga, Sioni umuhimu wa kiwa na kiwanja kama hicho huko!Ni wewe au mwingine?Ndio mjue aina ya kiongozi mnaemsifia.
Ni zaidi ya 41b na Sio 39bMbarawa ameweka jiwe la msingi katika uwanja wa ndege wa Chato wenye kiwango cha daraja la 4C unaojengwa kwa gharama ya Sh39.15 bilioni.....
JE KULIKUWA NA UMUHIMU WA UWANJA ULE WILAYANI CHATO KUWA TAYARI KATIKA KARNE HII WAKATI UWANJA WA MWANZA BADO NI MDOGO NA HAUSAPOTI NDEGE KUBWA?
Wameongeza vigezo vya wanafunzi kupata mikopo alafu wanaenda kujenga Airport ya mabilioni kijijini.Pa kumsifu namsifu, ila kwenye hili kaboronga, Sioni umuhimu wa kiwa na kiwanja kama hicho huko!
Mwanzoni nilidhani ni utani.
2020 ndo mwisho wake sasa huo uwanja utabaki unafungia kuku auKama 20km toka uwanja,Tunahifadhi kubwa ya Kisiwa cha Rubondo,kina wanyama wengi,samaki,ndege aina nyingi.Pia itapunguza garama,muda msafara mkuu wa nchi.Hii nchi si maskini ni huduma ya msingi kutanua fursa na maeneo mengine
Yawezekana kwani tatizo ni nini?Ni Chato International Airport (CIA)
KIA ni white elephant?? kuna kitu utakuwa umekaliaYawezekana kwani tatizo ni nini?
Tumejenga KIA miaka zaidi ya 40 haujawahi kuingiza faida ni white elephant ila ni security strategy.
Lakini Chato ina mambo yote economic and security strategy.
Tusiwe wepesi wa kuteleza kwa kalamu bali tuwe wepesi wa ufahamu.
Hakuna faida ya kiuchumi tokea kujengwa kwake unashindwa mbali na ule uwanja wa Arusha kuna ndege nyingi na biashara ya kutosha.KIA ni white elephant?? kuna kitu utakuwa umekalia