Waziri Mbarawa aweka jiwe la msingi ujenzi Uwanja wa Ndege Chato. Kuligharimu Taifa Sh. Bilioni 39

Hii ni sawa na Mobutu alienda kujenga uwanja kwa alafu ukageuka magofu
 
Hii Ndo shughuli ya leo
 

Attachments

  • IMG-20171104-WA0017.jpg
    IMG-20171104-WA0017.jpg
    17.4 KB · Views: 46
  • IMG-20171104-WA0015.jpg
    IMG-20171104-WA0015.jpg
    33.4 KB · Views: 41
  • IMG-20171104-WA0019.jpg
    IMG-20171104-WA0019.jpg
    19.7 KB · Views: 45
  • IMG-20171104-WA0012.jpg
    IMG-20171104-WA0012.jpg
    78 KB · Views: 43
Pa kumsifu namsifu, ila kwenye hili kaboronga, Sioni umuhimu wa kiwa na kiwanja kama hicho huko!
Mwanzoni nilidhani ni utani.
Wameongeza vigezo vya wanafunzi kupata mikopo alafu wanaenda kujenga Airport ya mabilioni kijijini.

Ameshindwa kutoa milioni 50 kwa kila kijiji ameweza kupata mabilioni ya kujenga Airport huko kwao.

Hajaongeza mishahara lakini kaongeza makato ya bodi ya mikopo kutoka asilimia 8 mpaka 15.

Huyu mtu ukikaa chini na kumpima kwa makini utagundua hana uchungu na maisha ya watu masikini.
 
Kama 20km toka uwanja,Tunahifadhi kubwa ya Kisiwa cha Rubondo,kina wanyama wengi,samaki,ndege aina nyingi.Pia itapunguza garama,muda msafara mkuu wa nchi.Hii nchi si maskini ni huduma ya msingi kutanua fursa na maeneo mengine
2020 ndo mwisho wake sasa huo uwanja utabaki unafungia kuku au
 
Ni Chato International Airport (CIA)
Yawezekana kwani tatizo ni nini?
Tumejenga KIA miaka zaidi ya 40 haujawahi kuingiza faida ni white elephant ila ni security strategy.
Lakini Chato ina mambo yote economic and security strategy.
Tusiwe wepesi wa kuteleza kwa kalamu bali tuwe wepesi wa ufahamu.
 
Mh Rais kule uchagani tungekuita Jembe nyumbani ni nyumbani ukipenda weka na Ikulu ndogo huko plus Benk kuu ndogo
 
KIA ni white elephant?? kuna kitu utakuwa umekalia
Hakuna faida ya kiuchumi tokea kujengwa kwake unashindwa mbali na ule uwanja wa Arusha kuna ndege nyingi na biashara ya kutosha.
Ndio sababu kubwa iliofanya uwaja ule ukodishwe kwa dinari tano.
KIA haina tofauti na uchimbaji wa madini ya Tanzanite
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom