Waziri Mathias Chikawe: Hakuna watanzania waliohusika kashfa ya BAE!

serikali inasema eti kama una ushahidi wa RADA, tuwapeleke, watawapeleka mahakamani hata kesho
 
Kiburi chao ndiyo kizuri, wanaendelea kutoa orodha yao ili tupate idadi kamili ya wanaotakiwa kunyongwa na LAZIMA WANYONGWE mpaka KUFA tena hadharani
 
serikali inasema eti kama una ushahidi wa RADA, tuwapeleke, watawapeleka mahakamani hata kesho

Kama DEAL ya rada likuwa safi na haikuwa na RUSHWA hiyo "CHANGE YA RADA" tuliyorudishiwa na kununua madawati ilikuwa ya nani? Kwanini serikali isingekataa hiyo pesa kwamba RADA tuliyouziwa ilikuwa bei halali na hiyo CHANGE itakuwa ni wizi kwa BAE System?

Kama bado kuna Watanzania wanafikiri kwamba ipo siku CCM itabadilika, basi watasubiri sana hadi Masiya atakaporudi.

INSANITY IS TO REPEAT THE SAME THING EXPECTING DIFFERENCE RESULTS.

Tanzanians we are insane because we have been keeping voting for CCM expecting that one day they will change. Get away with that insanity my fellow Tanzanians, the writting is already on the wall!
 
Mkuu hatufiki popote. Ila isikupe presha kwa sasa. Mambo ya kulindana yana mwisho wake. Hata wengine.....waliwahi kulindwa lakini ikafika kipindi tukawasepesha.

Lets keep insisting.........:israel::israel:
Mkuu umenikumbusha yule jamaa aliyekuwa na walinzi 200 wanawake lakini mwisho wake akaishia kwenye Mtaro wa maji machafu
 
Kama DEAL ya rada likuwa safi na haikuwa na RUSHWA hiyo "CHANGE YA RADA" tuliyorudishiwa na kununua madawati ilikuwa ya nani? Kwanini serikali isingekataa hiyo pesa kwamba RADA tuliyouziwa ilikuwa bei halali na hiyo CHANGE itakuwa ni wizi kwa BAE System?

Kama bado kuna Watanzania wanafikiri kwamba ipo siku CCM itabadilika, basi watasubiri sana hadi Masiya atakaporudi.

INSANITY IS TO REPEAT THE SAME THING EXPECTING DIFFERENCE RESULTS.

Tanzanians we are insane because we have been keeping voting for CCM expecting that one day they will change. Get away with that insanity my fellow Tanzanians, the writting is already on the wall!

JK alisema kulikua na makosa ya kimahesabu tu so akukuwa na haja ya kumshitaki Chenge!! Na katika gazeti la leo wameandika "Mafisadi wakabidhiwa kuendesha kamati za bunge". Tumekwisha!
 
This issue is not over yet. Take my words. Chikawe made a grave mistake to pre-empty Membe from revealing the names of thieves, he will regret.

The thieves of radar played smart; they got JK to defend them, stupidly and unknowingly he fell on their trap, that got Membe hesitant to mention the thieves as that would contradict his boss. Had not Chikawe preempted Membe, I'm pretty much sure Membe would have mentioned the names. Now the public is wrongly lead to believe that the government of the UK conspired to have theives not prosecuted. The UK will not like this picture and will act. The reaction will bring back the issue to the spot.
 
Wala rushwa na mafisadi hawawezi kutajwa hapa kwenye utawala uliopo maana mtandao ni mkubwa unawashirikisha watawala wetu wengi.
Tukitaka kujua nani walifirisi nchi hii naomba tufanye uahamuzi wa busara 2015 . Tuking'oa utawala dhalimu uliopo kila kitu kitawekwa wazi hata makaburi mengi ya mwabwepande yatafufuka . Ndugu zangu yako mengi yamefunikwa chini ya busati
 
Inatia hasira sana, Vita ije nikamate mtutu nitafute kitu inaitwa Chikawe, sina ninachopoteza.

Kama hakuna ushahidi ina maana BAE na serikali ya Uingereza wanahusika na utapeli wa Radar coz nao walikuwa wanachunguza na wakasema kulikuwa na ufisadi kwenye hii issue ndiyo maana genji ya hela(cha juu) ya manunuzi ya radar ikarudishwa.

Kilichokuwa kimebaki hapa ni kushitakiwa kwa wahusika Chenge akiwa ni mmojawapo, hili liko wazi
 
Wanaogopa kutajana kwani mmoja kati ya waliopata mgao aliwahi kuwa au ni rais wa nchi fulani
 
Yaani nimechoka sana, wakati mwingine hadi mtu unalaani kwa nini ulizaliwa Tanzania, hivi hawa jamaa wataka ushahidi upi? Mbona mwalimu Nyerere alimfukuza yule mgiriki just kwa kusikia tu kuwa serikali imeweka mfukoni?ninaogopa bani ila cjui, hivi wanafundishwa haya majibu?
 
Back
Top Bottom