Waziri Masha na Kashfa ya Vitambulisho

Kama ni kweli, kijana amekwenda na maji. Atapigwa makombora yote ya Nipashe na Kulikoni na ThisDay aahh kwisha habari yake tuombe iwe kweli tuone. Yatakayojiri .....yetu macho...hadi 2010 tutasikia na kuona mengi sana
 

"Kambi ya Masha" katika lugha za kisiasa maana yake loyalists wa Masha. Loyalists wa Masha hawawezi kukuambia Masha anahaha.

Hao waliokuambia watakuwa ni hao "wadadisi wa mambo." Which is well and good, the thing is, though, habari yako ni breaking news lakini, naam, imeshachambuliwa na wadadisi wa mambo. Mdadisi wa mambo mwenyewe asije akawa ni aliyetuletea habari za "wadadisi wa mambo." The great old Paparazi Muwazi!
 
hahahaha kazi kweli kweli maana breaking news nyingine huwa zinautata sana....

its true how come kambi ya masha ije itoe habari kuwa mtu wao anahaha?...thats insane!..anyways labda one of the them ameamua kumsaliti masha kama Judah kwa kwenda na kutoa nyeti....kujfanya nipo jikoni i know this.
 
...anyways labda one of the them ameamua kumsaliti masha kama Judah kwa kwenda na kutoa nyeti....kujfanya nipo jikoni i know this.

Nakupata vizuri. Ila kama kujifanya na yeye yuko jikoni ungetegemea atoe ka positive spin kuhusu mtu wake. Eti yeye akaenda kummalizaaa.

But then here is another thing, right, say ni msaliti, okay, huyu insider wa upande wa Masha amekuwa wa kwanza kujua kwamba hili bombshell limefika kwa Mengi, sio ingebidi insider wa Mengi ndio ajue kwamba we stumbled on this smoking gun against nemesis wetu and this and that? Unless ni mtu wa Masha ndio ali leak-isha soo akali-direct Mengi's way, kwa hiyo anajua Mengi amelipata! I mean, you follow me, right? Insider wa Masha katoa leak kwamba Mengi kapata nyeti! Amejuaje? Hahahaaaaaa, No, no, you tell me, am I missing inklings here?
 

No wonder umejiita Kuhani. You sniff! Ngoja uone...

PM
 

PM,

Kuna kitu cha namna hii kimetoka kwenye NIPASHE ya leo. Nimeona headline kwenye TV asubuhi. Najaribu kuipata habari yenyewe kwenye IPPMEDIA Main Page lakini haijawekwa mtandaoni. Hebu ifuatilie.

Habari inasema kwamba Masha ameingilia suala la vitambulisho na katika hilo kasheshe kagombana na Katibu Mkuu Kiongozi (P. Luhanjo). Na kwamba kesi hiyo imefikishwa kwa Pinda. Habari zaidi ziko kwenye Nipashe.
 
Jamaa kaisha alichokoza mwenyewe mzinga wa nyuki sasa asitoke nduki akomae.
Awe makini inaweza ndo ikawa mwisho wake na mwaka 2010 wakammaliza kabisa.
 
Awamu ile tuliambiwa kuwa mafahari wawili wakigombana.....Kisha yakaja maneno(kasa?)kuwa wamepatana na bla,bla nyiiingi...Bottom line ikawa wameyamaliza kiutu uzima!!
Haya ya kumnasa yanatokea wapi tena?Au ndo mambo ya visasi!!

ni ile tu kwamba walijiwekea keep your enemy closer, hapo pa tamu....
 

utajuaje kama mmoja wapo alikuwa anamwelezea mpenziwe au anajiongelesha ongelesha kuonyesha jinsi ambavyo anamjali Masha na wengine wakainyaka, kwenye Msafara wa Mamba....... na kwenye Msafara wa kambi ya Masha.......na kambi ya mengi ipo, si mafahali wawili?
 
Hili suala tulishaliongelea sana..limegubikwa na Rishwa..Hakuna kampuni ambyo itapata hii kazi bila kutoa Rushwa..kuendelea na Speculation ya hii kitu..ngoja nikupe kipisi flani hivi



what i know is[FONT=arial,helvetica] an effective national identification system is a key requirement for the proper application and execution of policies and programs in different sectors of the economy. These include[/FONT] [FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] Tax administration[/FONT]
[FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] Crime Control and Administration of Justice[/FONT]
[FONT=arial,helvetica] Financial and Banking System
Educational System[/FONT]
[FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] Healthcare System[/FONT]
[FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] Immigration and Passport system
Motor Vehicle Administration[/FONT]
[FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] [/FONT] [FONT=arial,helvetica] Highway Safety
Employment Eligibility Verification.[/FONT]
 
Last edited:
Niko nasikiliza kipindi cha Bunge live, Maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu. Amemuuliza Waziri Mkuu kuhusu Waziri mmoja kuingilia tenda ya kuchapa vitambulisho vya taifa kinyume cha utaratibu. Amembana Waziri Mkuu atoe kauli maana ukiukwaji huo umesharipotiwa kwake na akataja namba ya Barua. Waziri Mkuu amekiri ni kweli suala hilo liko kwake ila Dk. Slaa amekuwa na haraka kuliongelea na kusema kuwa Ofisi ya Waziri Mkuu itamchukulia hatua Waziri huyo baada ya uchunguzi kuthibitisha hilo.

Nadhani Dk Slaa alikuwa akimzungumzia Waziri Masha ambaye thread moja inamtaja Mh Masha kama Waziri mmojawapo aliyekalia kuti kavu.
 

Tumeandika habari hiyo kwa kirefu na kuelezea ni nini kinadaiwa kufanyika.
 
Ubia wa Mh Sitta (Spika) na Mh WM Pinda unaelekea kukiharibu kipindi hiki cha maswali na majibu. Sitta anamkingia mno kifua WM.
 

jamani hizi 90% zinatuponza sana maana watz hatuchukui 10% unampa mtu tender we unachukua 90% unamuachia 10% sasa Masha ameona asije akakosa bureeeeee JK ulivyokuwa unawachagua hawa wasaidizi wako kipimo cha sifa kilikuwa ni nini? ni A/c statment au Maisha yake na ofisi anazoziongoza, haiwezekani wote wawe wabovu kiasi hicho je wewe ni msafiiii? SIWEZI KUHAMA CCM ILA KWA KWELI MNATULAZIMISHA AIBU HII,
 

Hili suala nilitegeme sana kutokea,toka kipindi kile linaanza liligubikwa na uwalakini.Hili dili haliweza kupita bila ya kuwa na Rushwa.Huko Nigeria Waziri na Katibu Mkuu wa wizara husika waliweka ndani kwa kupokea rushwa ya dola million 50 ili kuwapa kazi SAGEM.

Tatizo siyo Masha ila ni watu ambao wana Fuatilia hiyo dili.kuna wakati hapa Africa kusini nilishawahi kumuona waziri mmoja naye akifuatilia hiyo dili.

ila so far kuna mawaziri watatu wanafukuzia hiyo dili na sijui nani ataipata...watakaangana wao kwa wao!

Hata juzi kuamishwa kwa Katibu wa Wizara ya mambo ya ndani ni kutokana na hii ishu.Kuna kipindi flani Mhe. Rais ilibidi atengue uteuzi wa Afisa mtendaji wa hii kampuni baada ya kugunduliaka ulikuwa umeandaliwa mpango wa kifisadi.

Muunwgana alionya sana kuhusu hili dili na akamwambia Masha asimamie vyema na Rushwa isijitokeze.SAGEM ni kampuni kubwa na imefanya kazi kubwa sehemu mbali mbali ila Rushwa na haya makampuni makubwa haieoukiki.

Nimeshakuwa Engineer kwa makampuni makubwa kama na ni sera zao.
 

Mkuu toa maelezo zaidi, hizi statement zako hazijanielewesha.
 


Masha kwa kweli ameshapoteza sifa za uongozi na si ajabu wakati wowote akapigwa chini, anyway-nadhani hakuwa na sifa za uongozi ispokuwa kilichomsaidia ni kuwa kwenye Mtandao wa JK na kwa kweli kwa JK kuendekeza mambo ya mitandao ndo amefiikisha nchii hapa tulipo. La.bda Pinda aweza kumuokoa na mzimu wa Mtandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…