Ndiyo mana huwa simpendi Mengi na nitasimamia hapo hapo...Mzee huyu anajidai ni msaada kwa watanzania ila hana chochoteingawa kwenye ishu ya Masilingi hakuwa mkweli na what real went down!.
Haikubaliki si Tanzania wala penginepo kwa kiongozi kama Waziri kutoa kauli ambazo hawezi kuzisimamia au hamaanishi anachokisema. Kwa kiongozi yoyote au Masha kufanya alichofanya Masha au kifananacho na hicho ina maana ya kati ya haya hapa chini:
- Hakuwa serious na kauli aliyoitoa, hivyo anatania umma wa Watanzania; au
- Hawezi kusimamia maamuzi yake - he therefore dont mean business;
How can we take him seriously next time anatoa statement au agizo?
Unajua ndugu yangu kuna Wizara ambazo ukimpa kijana chini ya miaka 50 umechemsha.
King'eng'e kuna kitu kama vile: 'nothing, nothing beats experience!' Hatu uwe na digrii saba lakini kama huna experience kuna kazi zingine mtu hastahili kuzishika, maana baada ya muda si mrefu atatokota tuu!
Mkuu Mwanakijiji, kupima upepo wa kasheshe lenyewe ndio ukubwa.Masha atapata credits kwa kukaa kumya baada ya kuona sakata lenyewe halimsaidii kwa vyovyote,sana sana litamharibia.Waswahili walisema"funika kombe wa....... wapite"
Mzee mwanakijiji usikasilike unapokosolewa, otherwise inabidi tukutambue kama kibalaka wa Masha.
Ipo siku mungu atatuonyesha who real mengi is!!!!
Hivi ile sheria ambayo inayo mkataza mtu mmoja kutomiliki RAdio,TV na Gazeti kwa wakati mmoja itaanzishwa TAnzania..?
Nahisi ni wakati muafaka sasa kuianzisha kabla suala hili halijaleta madhara makubwa
Mwanakijiji, nimemsikiliza kwa makini na hakuna sehemu ambayo Masha amesema anafuta agizo lake. Akiwa anaulizwa kwa woga na Mtangazaji wa TBC1 (Elisha Eliya) na yeye kujibu kwa wasi wasi kidogo, amesema kuwa wameachana nalo. Hakusema kuwa amefuta agizo lake hata kidogo. Na akaongeza kuwa Polisi wataendelea kufuatilia suala la SMS. Labda kama na wewe umekuwa na kipaji cha kusoma hisia zake. Kama ni hekima basi angekiri kuwa agizo lake halitekelezeki hivyo amaelifuta rasmi. Vingenvyo mimi (labda na wengine) namwona kama mtu ambaye hajui analofanya. Sidhani kama vitisho vyote alivyotoa awali ilikuwa ni utani au kutishia mtoto nyau! Kwa maoni yangu ameidhalilisha nafasi ya Uwaziri (ambayo tunajua ilishawahi kukaliwa na watu wenye uwezo wa kufuatilia mambo kama Mrema), Rais aliyemteua na serikali yote. Mimi sijaridhika na maelezo ya juu juu katika issue nyeti kama hii. Vinginevyo amwachie mtu mwingine ofisi afanye kazi naye arudie kazi yake ya uwakili.
well.. una nguvu fulani za kiungu, itabidi nianze kukusujudia!
Bwana mkubwa usimsujudie hicho kitu hakiitaji uungu kinaitwa
psy·chol·o·gy [ sī kólləjee ] (plural psy·chol·o·gies)
noun
Definition:
1. study of human mind: the scientific study of the human mind and mental states, and of human and animal behavior
ukiwa na ujuzi huo basi yaweza kua rahisi kubashili anayoweza kufanya au kuwaza mtu kwa wakati fulani! hahahahaa
Ndiyo mana huwa simpendi Mengi na nitasimamia hapo hapo...Mzee huyu anajidai ni msaada kwa watanzania ila hana chochote
- Mengi na Masha, hawakututendea haki wananchi na taifa zima kwa ujumla, kwa sababu watuwazima wamekuja kutishiana nyau kwa expense yetu taifa na hasa sisi wananchi walalahoi, for what hasa?
- Mengi ametuhakikishia kwamba ni very powerful na anaweza kuitikisa serikali at any of his time na Masha ametuhakikishia tu kwamba hana uhakika na either sheria au mipaka ya kazi yake, kwa sababu kwa dataz nilizonazo ni kwamba alifikia mahali aliamuru Mengi akamatwe, lakini wakulu wa polisi aliowapa amri wakamcheka sana kwamba haitakuja kutokea, what an-embarrassment kwa waziri na serikali!
- In the end wananchi walalahoi ambao wengi tulikuwa tume-invest a lot in this sagga, tume-lost maana ni majuzi tu Mengi na Masha walikuwa mahali wakioengea na kucheka as nothing happened, nilijua Mchagga Mengi sio rahisi kumdhuru kijana aliyeoa mtoto wa Mareale Chifu wa wachagga, kamwe haitakuja kutokea maana Mengi atapita wapi huko Uchaggani?
Turudi tu backo to the really ishus za taifa! maana aliyejuu labda umfuatie huko huko juu, yale ya zamani ya kumngojea chini hashuki ng'o maana anaweza kutumia parachute asianguke! Tunamuombea Mengi aendele kusaidia wananchi wanyonge kama anavyofanya, maana kwenye hilo atalipwa na Mungu tu, ingawa kwenye ishu ya Masilingi hakuwa mkweli na what real went down!.
Ndiyo mana huwa simpendi Mengi na nitasimamia hapo hapo...Mzee huyu anajidai ni msaada kwa watanzania ila hana chochote
Hii sikubaliani nayo...wamerekani wangemchangua Mcain kama kigezo ni umri!