johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,129
Waziri wa nishati January Makamba amesema serikali imepanga kuzikutanisha wizara na taasisi zote zinazohusika na rasilimali Maji naada ya mwezi mmoja ili kuweka mikakati ya pamoja ya ulinzi wa vyanzo vya maji.
Naye msimamizi wa bwawa la Nyumba ya Mungu amesema bwawa hilo limebakiza kina cha sentimita 89 kufikia ukomo wake.
Waziri Makamba yuko katika ziara ya kukagua mito na maziwa mkoani Manyara.
Source: ITV habari