Waziri Magufuli apata PhD

Dah! Hahahahaaa. Watu wachokozi balaa. Kama elimu siyo bangi huoneshwa hadharani, kwa nini mtu anune akiambiwa atuoneshe? Aaaaaa, popo atanyea mbingu si muda mrefu!
 
Mmeibua tena ohoo mtapotea wengi haya

Ila wabongo ni shidaa
 
There's nothing more amusing on earth than social media. ...Hiding behind a keyboard, any social media patron, including some of us who are secondary school dropouts, can challenge even professors to re-defend their doctoral theses before us!!! Burudani tupu; that's the beauty of social media!!!
 
Kumbe powa sana
 
Wazee Magufuli ni kchwa na hilo ukilipinga hata samaki, ng'ombe na barabara zitapiga kelele na kusema acheni kuachama na kupayuka maneno ya hovyo hovyo.John is doing to his best.
Hahaha
 
magufuli ni mmoja wa mifano ya watanzania wachache waliotokea chini na kufika viwango vya juu kabisa vya elimu,namkumbuka mwingine ni dk mshindo msolla wa sua,aliaza kama mwalimu wa shule ya msingi akajiendeleza hadi hapo alipofika
Kumbe....naona sasa anaendelea kusukuma gurudumu la jagwani
 
Usemacho ni sawa sisi wana taaluma( elites) tuna share our knowledge na huwa hatufichi namna tulivyopata elimu zetu kwani ndio mavuno yetu ktk kusoma kwetu.
Elimu sio bangi kwamba itafanyika kimafichoni
Ben Saanane alipotezwa na Magufuli kwa kuhoji PhD yake. Alikaribia kuweka hadharani udanganyifu alioufanya kuipata PhD ile. Magufuli alimuwahi!
 
Mmh yaani unazima computer kwa ajili ya reply ya MTU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…