Dr Hosea ana PhD kutoka Chuo Kikuu cha Dsm, LLM kutoka Queen's University, Canada, LLB from UDSM.He is an advocate of a Tanzania Bar. Ameandika articles nyingi tu za kisheria
Ndio maana inafaa kuwa specific na vitu kama hivi. Inawezekana mtu unamuona kila siku akija hapo kwa dk.tano tu na kuondoka ukasema muda mrefu. how muda mrefu is mrefu? Any way tuache kurumbana but I just meant to tell the concerned poster of that to be more clear so that readers should not be mislead.
Magufuli amekuwa mwanafunzi wa Phd hapo chemistry kama kamaliza nampa hongera kwa kweli kutoka kuwa mwalimu sengerema secondary kwa kweli anahitaji pongezi ameonyesha kuwa ni hardworker na yuko serious kwa kweli
magufuli ni mmoja wa mifano ya watanzania wachache waliotokea chini na kufika viwango vya juu kabisa vya elimu,namkumbuka mwingine ni dk mshindo msolla wa sua,aliaza kama mwalimu wa shule ya msingi akajiendeleza hadi hapo alipofika
Magufuli amekuwa mwanafunzi wa Phd hapo chemistry kama kamaliza nampa hongera kwa kweli kutoka kuwa mwalimu sengerema secondary kwa kweli anahitaji pongezi ameonyesha kuwa ni hardworker na yuko serious kwa kweli
Magufuli amekuwa anafanya phD pale Mlimani kwa muda mrefu....it must have been from around 2006/2007 academic year.Kuna wakati fulani nilikuwa nafuatilia transcripts zangu pale Mlimani na kukutana nae akifanya utaratibu wa ada pale chuoni....nilishangaa maana katika hali ya kawaida unategemea angefanyiwa hayo malipo na mtu kwa niaba yake.
Rafiki yangu mmoja alikuwa ananiambia akiwa waziri wa miundo mbinu alikuwa anafika sana pale chuo na nadhani alikuwa na marafiki wengi pale chemistry department maana alikuwa anakaa pale nje ya department na kuongea na wazee wa pale chemistry kwa muda mrefu sana.
Kama kweli MAGUFULI kamaliza PhD yake aliokuwa anaisomea pale UDSM, nampa hongera. "Ebwana sisi tupo njiani, Mungu akijaalia tutapata nasi, Hongera sana mheshimwa".
Tanzania ni mwanachama wa Commonwealth, lakini ameamua kukomaa hapohapo mlimani! Hajasoma Commonwealth Open University kama wenzake!!
HONGERA SANA J.P.MAGUFULI kwa uzalendo wako!!