Waziri Lukuvi, kuna ucheleweshwaji wa makusudi wa hati za umiliki wa ardhi

Mkoa wa pwani tumelipa hiyo 200000 ya urasimishaji kwa kampuni wakapima ila wakati wa kutoa hati wakasema hawahusiki wamepeleka mafaili yetu serikalini tulipofika serikalini wakasema inabidi tulipie gharama zingine 180000 baada ya kulipia mpaka sasa wapo kimya na hati hatujaiona, hivi hii inakuaje?? Lukuvi unayajua haya
 
Sitaki kununua Viwanja vya kupimwa kwa sababu ya huo usumbufu wa.
1. Hati
2. Building Permit
3. Kulipia kila Mwaka tena ni Mwezi wa Saba tu. Nikitaka kulipa mkupuo kwa miaka Kumi ili nipumzike hawataki.
4. Ku renew mkataba wa ardhi kila baada ya miaka kadhaa, (urasimu inabaki palepale)
5. Eneo likivamiwa na mji inabidi niombe tena kubadili matumizi ya Kiwanja ili kiwe cha biashara. (kama kilikuwa cha makazi) usumbufu ni ule ule.

Nabaki Hoi
 
Back
Top Bottom