Steven Nguma
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 1,072
- 1,148
Sijawahi kuona trafiki na mashine zao wakashindwa na raia, ipo siku kutatokea kitu chaajabu bara barani serekali itashangaa. Gari haijawahi fika bagamoyo na mimi nimmiliki wa hiyo gari lakini unaambiwa inadaiwa laki na nusu ilizidisha speed kwenye 50 mwaka jana.