Waziri Lugola : Jeshi la Polisi kamateni watu wanaovihusisha vyombo vya ulinzi na usalama na ' watu wasiojulikana'

Kutuhumu bila ya ushahidi ndiyo kukoje huko? Basi na yeye akubali hivyo vyombo vya sheria na dola kufuata sheria zilizowekwa. Kwa mfano ni lazima Polisi wote wafuate kanuni za ukamataji, upekuaji, uwekaji watu Rumande, kanuni za kuhoji, kulinda mikutano ya hadhara na hata ufunguaji wa Kesi mahakamani.
Umeona

Mtuhumiwa kufa mikononi mwa police kwa kipigo, hivi sheria gani inayo wapa police kupiga kipigo cha mbwa koko..?
 
CCTV camera wasiwahi kuziondoa maeneo ya matukio......hahaah, atakaye enda kuzitoa tutampiga picha ya simu.......akipigwa hiyo ndio tutaanzia hapo ili alete cctv camera tumalize ushahidi...hahaha
Mbona CCTV Camera za eneo alilogigw risasi Tundu Lissu ZILIONDOLEWA na MEDARD KALEMANI Mbunge mpendwa na mrithi wa Jimbo la JIWE waziri wa nishati au hakuna kinachofanyika ??
 
Yaani huyo jamaa ni speaker tu, mwenye Mic yuko magogoni. Na kashamjua ni mchekeshaji wa mfalme anamtuma hata mambo ya kipuuzi. Ukitaka kufuruha ujie mtengeneza script ni yupi, ngoja siku jiwe akihutubia utamsikia anaongea hayo hayo anayongea huyo waziri kituko. Naona kina Savimbi walikuwa wanatumwa mambo kama haya wakawa wanapotezea kwani huku mitandaoni walikuwa wanapewa ukweli wao mpaka wanaona soni. Huyu boya yeye inaonekana ni fala anatii kila jambo.
Hatakama ndio mtu analinda kibarua kwa jitu kubwa kama hilo ropo ropo kamajiwb aibu tupu
 
Mbona CCTV Camera za eneo alilogigw risasi Tundu Lissu ZILIONDOLEWA na MEDARD KALEMANI Mbunge mpendwa na mrithi wa Jimbo la JIE waziri wa nishati au hakuna kinachofanyika ??
Yeye anataka proven FACTS, inatakiwa mtu aliyempiga picha huyo mbunge wakati akizitoa hizo camera .... kielelezo kinatakiwa. Yaani picha ikimuonyesha akizitoa hizo cctv. Simu zetu zitumike kupiga picha kwa ukumbusho na ndio maana wanaweka camera hata simu ya bei ya elfu 25..... mpige picha hata kwa uficho asijistukie kuwa umempiga picha. Hicho ndicho anachokitaka huyu bwana aliyeteuliwa
 
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ameliamuru Jeshi la Polisi kumkamata Mtu yeyote atakayevihusisha vyombo vya Dola na matukio ya kihalifu yanayotekelezwa na 'watu wasiojukikana'

> Waziri Lugola amesema yeyote atakayevituhumu vyombo vya Dola kwa matukio ya watu wasiojulikana kupitia mitandao ya kijamii au kwenye Baa basi akamatwe kwa mahojiano

> Ameongeza kuwa kama watu hao wataachwa basi watachangia kuchafua taswira ya vyombo vya dola jambo ambalo hatoliruhusu kwenye uongozi wake
lugola ana makandokando ya rushwa . huyu mtu sio mwadilifu. kama kweli raisi ana nia ya kupambana na rushwa asingekuwa hata mwenyekiti wa kile kiti chake pale bungeni . ndo mana tunasema mnaigiza. mbona hamtaki kuhojiwa na kuweka mambo wazi? siri za nini?
zipo wapi 1.5 trillion?
 
Yeye anataka proven FACTS, inatakiwa mtu aliyempiga picha huyo mbunge wakati akizitoa hizo camera .... kielelezo kinatakiwa. Yaani picha ikimuonyesha akizitoa hizo cctv. Simu zetu zitumike kupiga picha kwa ukumbusho na ndio maana wanaweka camera hata simu ya bei ya elfu 25..... mpige picha hata kwa uficho asijistukie kuwa umempiga picha. Hicho ndicho anachokitaka huyu bwana aliyeteuliwa
Mbona CMG walivujisha footage za Makonda kuvamia mjengoni na hakikufanyika kitu?
 
Kutuhumu bila ya ushahidi ndiyo kukoje huko? Basi na yeye akubali hivyo vyombo vya sheria na dola kufuata sheria zilizowekwa. Kwa mfano ni lazima Polisi wote wafuate kanuni za ukamataji, upekuaji, uwekaji watu Rumande, kanuni za kuhoji, kulinda mikutano ya hadhara na hata ufunguaji wa Kesi mahakamani.
Je waliokwenda kumkamata Zacharia walifuata taratibu? Na ni akina nani wale kama sio chombo cha dola kama alivyosema RC
 
Mbona CMG walivujisha footage za Makonda kuvamia mjengoni na hakikufanyika kitu?
Ilitakiwa wamfanye nini Mwenyekiti wa ulinzi Mkoa???
Maana hata mm sikuelewa, ndio ilivuja.... nadhani hata huko upande wa pili wajaribu kuvujisha ili tuone km hawatafanya jambo
 
Tokea alipopandishwa Kisuti kwa kesi ya kudai rushwa sikua na Imani nae tena..ni MNAFIKI mchumia tumbo
 
Mimi nikajua watafutwe na kukamatwa wasiojulikana kwanza.
Mbona nchi hii viongoz wake wajinga hv.?
 
Ukiona watu wanakutuhumu jua hawana imani na wewe. Kaa jitafakari. Mwisho wa siku aibu. Karma.
 
Back
Top Bottom