Waziri Lugola: Halmashauri ya Jiji la Dar itafute njia mbadala ya kusimamia usafi badala ya Mgambo wa RC Makonda

Hapa Waziri kaongea kibanadamu sana hadi raha, huu ndio uongozi unapaswa kuwa, kukemea wale wanaovunja sheria kwa kutumia nafasi zao. Waziri kani-impress.
 
Ametaja matukio ya walimu kuwaadhibu, kujeruhi na kusababisha vifo vya wanafunzi wao pamoja na mgambo wa Jiji la Dar es Salaam kuwajeruhi wananchi wanaposimamia suala la usafi kuwa miongoni mwa matukio yasiyokubalika mbele ya macho ya sheria.

"Suala la mgambo waliowekwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuwapiga na kuwajeruhi wananchi limewaondolea sifa ya kuendelea kuwatumikia wananchi, ni vema halmashauri ikatafuta njia mbadala ya kushughulikia suala hilo la usafi na kudhibiti matukio hayo," amesema Waziri Lugola

Nadhani hii ni nafasi nzuri kwamba sasa Jeshi la Polisi liwafunze kazi za Kipolisi ilikigezo mmojawapo wa Mgambo kupewa kazi na Halmashauri au Jiji kuwa wawewamepitia Kozi au Semina ya Kiupolisi
 
Watu kama nyinyi ndio mradi wa serikali.
Acha mahaba ya kijinga, ukweli lazima usemwe polisi na migambo wote hovyo kama unawatetea nawewe ni pimbi tu.
kuanzia leo ieleweke kwamba "Tecno sio Simu"

Tena huu mradi mkulu amewekeza kwelikweli...

NOTE: Mkuu kwahyo tecno ni Calculator au?
 
pongezi nyingi kwa waziri maana watu tulipanga kutenda jinai dhidi ya hawa vijana wa JKT.

inapaswa hawa vijana kutumia elimu ya uzalishaji mali waliyoipata huko JKT kujipatia ajira halali huku mitaani kuliko kutapeli watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom