Waziri kivuli wa Afya ajificha

Jamani huyu mtu namjua sana ni jirani yetu nyumba ya pili kutoka kwetu, ana katabia kakula mlungula ili kutimiza matakwa ya waliomtuma kisha anasepa. Jamani ni mtu wa kumsamehe tu hana hatia ila ni njaa inamsumbua. Kama huamini hebu cheki ID yake utanielewa.
 
sasa wewe unamsema waziri kivuli wakati raisi wako ambaye ni real sio kivuli kakaa kimyaa kama kamwagiwa maji, anza na huyo kwanza.

Hebu mchane huyo bwana mdogo,me nahc huyo ni mamluki aliyetumwa na magamba na ubongo wake umeshaacha kufanya kazi toka mwaka 95
 
Waziri kivuli wa afya kajificha huku raia washaanza kufa kutokana na mgomo wa madaktari

sasa cha kujiuliza kwa nini amekuwa invisble bila sababu za msingi?

Kwa kukaa kimya inamaana anatekeleza ilani ya uchaguzi ya chama kipi?

Kwa nini huyu waziri kivuli amekuwa na tabia za ki CCM CCM ?

Wagonjwa wa akili ni wengi sana humu,sasa na wewe umetokaje milembe?
 
Ficha Upumbu-mbavu wako wewe!!!
Huu msala ni wa Mponda, Nkya na boss wao JK.
Waziri kivuli yeye anahusikaje hapa????
Au una chuki nae binafsi???
Nina wasiwasi hilo jina hukupewa bure
 
Back
Top Bottom