Waziri Kawambwa ashindwa kujieleza juu ya Mgomo wa Walimu

Wanapiga simu waalimu wengi wanasema mishahara hawajapata hadi leo,inakuwaje anasema mishahara haichelewi??

Anasema atalichukua kama taharifa...hapa nashindwa kumwelewa Kawambwa inamaana anazungumza vitu asivyo na uhakika navyo!
 
Kikwete kajaza washkaji zake, sasa wanamvuruga! Huyu kawambwa alisoma germany kama sijakosea, mkewe ni mdogo wake sinare, yule dr. Wa mifugo pale namanga! Wakati wanakaa ud, jk akiwa wizarani, walikuwa wanatembeleana, so ushkaji ulianza kitaaambooooo! Ushkaji ndio umefikisha hii serikali hapa!
 
Kamaliza bila ata ya kujibu hoja yoyote iliyo kwenye madai ya msingi ya Waalimu...Walimu bila kupambana imekula kwenu,maana kwa maelezo ya waziri ni kama hakuna chochote serikali inafanya kuwasaidia kilio chenu.
 
anasema mishahara haichelewi..mwalimu kapiga simu kauliza mbona yeye hadi asubuhi hii ajaingiziwa mshahara?
Waziri kaanza kuongelea ishu zingine kashindwa kujibu.

kaka hapo kweli mie huwa unaingia tarehe 26 net,bila kuchelewa lakin hapa cjajua kwanin wamenicheleweshea mpaka tarehe hii. Serikali imefulia jaman. Hakika jaman
 
Kamaliza bila ata ya kujibu hoja yoyote iliyo kwenye madai ya msingi ya Waalimu...Walimu bila kupambana imekula kwenu,maana kwa maelezo ya waziri ni kama hakuna chochote serikali inafanya kuwasaidia kilio chenu.

Jamani ingekuwa ni uhuru wana jamii forum tungesajiri chama cha vijana wazalendo. CCVW chama cha kuondoa uovu uliopo ndani serikali yetu. Haina maana ya kuwa na uongozi uliokithiri rushwa jamani. Hauna maslahi. Mnaonaje wana jamii forum. Kampeni hianze!
 
Binafsi namkubali sana Engineer Kawambwa na nilishangaa sana kwa nini kaenda kuingia kwenye gege la wahuni CCM, jamaa alifanya vizuri sana kipindi alipokuwa IPI kwa sasa inaitwa TDTC kitengo cha COET
 
Kwa propaganda kama hizi, walianza kupandikiza hasira na chuki kwa madaktari, sasa wamekuja kwa walimu na wanafunzi, wanaendelea tena kwa wafanyakazi wote kupitia mifuko ya hifadhi ya kijamii (SSRA). Watakapowafikia wakulima basi ujue nchi haita tawalika tena.
 
kheee kumbe pinda muongo hivi..hivi huyu baba alipata hata kipaimara kweli..maana muongo muongo sana sijui kwa nini

pinda aka muhogo mchungu hamna kitu, ndoa yenyewe alifunga baada ya kuwa w/mkuu kinyemela kanisa la hananasif kinondoni kwani hata barabara imetengenezwa ili akienda kusali asikanyage vumbi.Hawa watawala wa ccm ubinafsi mbele mengineyo nyuma.
 
Hakuna haja ya kupigizana kelele nao, waende wao kufundisha sasa!! Wanafunzi ikifika jumatatu hakuna walimu, walale barabara kuanzia ikulu njia panda ya ulaya langoni pale, kwenye junction zote! Basi ilimradi LIWALO NA LIWE.
 
Kikwete kajaza washkaji zake, sasa wanamvuruga! Huyu kawambwa alisoma germany kama sijakosea, mkewe ni mdogo wake sinare, yule dr. Wa mifugo pale namanga! Wakati wanakaa ud, jk akiwa wizarani, walikuwa wanatembeleana, so ushkaji ulianza kitaaambooooo! Ushkaji ndio umefikisha hii serikali hapa!
Ni Mtoto wa Shangazi yake na Kikwete.
 
hakika nchi hii inaweweseka......kama waziri hana majibu ya kuridhisha nani wa kumtegemea? serikali legelege ya dhaifu inatuipeleka wapi Tanzania...Walimu mkishindwa kwenye huu mgomo,mmekwisha....
 
Kikwete kajaza washkaji zake, sasa wanamvuruga! Huyu kawambwa alisoma germany kama sijakosea, mkewe ni mdogo wake sinare, yule dr. Wa mifugo pale namanga! Wakati wanakaa ud, jk akiwa wizarani, walikuwa wanatembeleana, so ushkaji ulianza kitaaambooooo! Ushkaji ndio umefikisha hii serikali hapa!

FYI Kawambwa ni cousin wake JK. Kama ulikuwa hujui basi habari ndio hiyo!!
 
Back
Top Bottom