yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,581
- 1,318
still tunauhitaji as first image wageni wanapotua na midege yao na ile ya kwetuHuu uwanja utamsaidia nini bibi yako kule kijijini?! ALISIKIKA KAMANDA MMOJA AKISEMA.
Wasiwasi wangu uko hapa.......miundombinu yetu huwa tunaiharibu sana, baada ya muda mfupi chooni utakuta ndoo na kopo!Msituangushe kwenye huduma tuu....maana hatuchelewi kuwa na counter 10 alafu mtoa huduma jupo kwenye moja
Ni kweli...lkn tumeikumbatia Dengue, wageni watatua na midege yao? Tunajenga huku tunabomoa....na tukishajenga tunabomoa....still tunauhitaji as first image wageni wanapotua na midege yao na ile ya kwetu
Tuna vaccination tutawauzia tuinue uchumi wetuNi kweli...lkn tumeikumbatia Dengue, wageni watatua na midege yao? Tunajenga huku tunabomoa....na tukishajenga tunabomoa....
Au Dengue itapita tu ni upepo...!?
OK...tena Vaccination iliyotengenezwa na mchanganyiko wa majani ya Mapapai na Korosho za Ntwara...tuzidi kuziona fursa...Tuna vaccination tutawauzia tuinue uchumi wetu
OK...tena Vaccination iliyotengenezwa na mchanganyiko wa majani ya Mapapai na Korosho za Ntwara...tuzidi kuziona fursa...
Nmekuelewa mkuu...ngoja makamanda waje kwa spidi ya DreamlinerHuu uwanja utamsaidia nini bibi yako kule kijijini?! ALISIKIKA KAMANDA MMOJA AKISEMA.