Waziri Kamwelwe athibitisha kukamilika uwanja mpya wa Julius Nyerere Int. Airport Terminal 3

smart move sana ......huduma ndo zinazingua always udart vimepewa kila kitu kwanzia system,magari,miundo mbinu tulitegemea tusikie kwamba moja ya taasisi zenye pesa ila bado nasikia pesa zinafujwa...atcl staki kusema,
 
MaCCM Mkiendeleza UGAIDI/siasa zenu chafu zakutesa, kuteka, kupiga wapinzani risasi na kuua na kufunga maiti kwenye viroba. Mtafugia Njiwa uwanja huo. Watalii wataacha kuja. Wageni mtawajaza hofu na mashaka wataona Tanzania si salama tena.
 
Issue sio uwanja ni huduma itakayotolewa hapo itakidhi viwango vya kimataifa ? Utafika AC zimezimwa , mara ofisa uhamiaji mmoja, uchafu kila kona ..
 
Muombeni john safari hii amwachie makamu wake naye akazindue sio kila uzinduzi ni yeye akiwa live tbccm tu
 
Back
Top Bottom