Waziri Kairuki: CAG achunguze upotevu wa sh. 30 bilioni za mapato ya madini na gesi asilia mwaka 2015/16

Kwake yeye billion 30 ni nyingi zinataka ukaguzi wa CAG but CAG alipochunguza akakuta 1.5 trillion hazijulikani zilipo walimuamsha hadharani kama mtendaji wa kijiji ili akanushe kwamba hazikupotea.

Sijui hii system ya CCM inatumia mfumo gani wa hesabu duniani na mtaala wake unafundishwa wapi!ajabu sana hii.
 
Yaani we ndio hiko tu ulichokiona? Na huu ndio mchango wako katika mada hii?
Sasa mkuu kuna cha kuoji zaidi wakati serikali inakula pesa yenyewe halafu kuwapumbaza wanamuita CAG kuja kufanya ukaguzi wakati wezi ni serikali yenyewe.....

Wake up dude....
 
Report ya CAG ya hivi karibuni bado haijapoa na akina Kairuki wanataka Assad akafukue makaburi mapya? Wamalizane kwanza na hii ya sasa.
 
.........tuna safari ndefu mkuu,upigwaji wa b30 mtu anaishia kusifia midomo ya mropokaji.

Hawa ndiyo mtaji wa ccm hawajui kama nchi inayumba,uchumi umeshuka wao kujadili ujinga tu.
Yaani roho inaniuma sana kuona kuna vijana wanaofikiria ujinga kwenye hot issues kama hizi.
Vijana wa aina hii ndio mitaji ya CCM, tunahitaji mabadiriko makubwa sana kuwazindua watu wa aina hii
 
Kwake yeye billion 30 ni nyingi zinataka ukaguzi wa CAG but CAG alipochunguza akakuta 1.5 trillion hazijulikani zilipo walimuamsha hadharani kama mtendaji wa kijiji ili akanushe kwamba hazikupotea.

Sijui hii system ya CCM inatumia mfumo gani wa hesabu duniani na mtaala wake unafundishwa wapi!ajabu sana hii.
Sasa hivi wana mpango wa kufungua chuo kikuu. Imagine wahitimu wa chuo hicho watakuwa wabobevu wa fani ya uwongo na sanaa kwa kiasi gani?
 
yeye inamuuma 30b kias cha kuongea mubashara. sisi ina tuuma zaid 1.5 tunaongelea kamficheni tunatafutwa tukashitakiwe. sijui yeye ataitwa kuhojiwa. au wao ni sahihi kuhoji ila kwetu dhambi
 
Waziri wa Madini Angella Kairuki amemtaka CAG achunguze upotevu wa kiasi cha sh. billion 30 zilizopotea katika sekta ya madini na gesi asilia kwa mwaka 2015/16. Kairuki amesema kiasi hicho kinaweza kuonekana ni kidogo lakini serikali haiwezi kuvumilia ufisadi wa aina yoyote ile. Source Eatv habari!
Kwa hiyo sasa wanachotueleza ni kuwa zilizopotea ni Bilioni 1500 ujumlishe na bilioni 30... = bilioni 1530 ndo zimepotea..!!! TAFADHALINI JAMANI, MSITUTOE KWENYE 1.5 T kirahisi, sisi tutajumlisha tu
 
Back
Top Bottom