I think first question is What would Makamba do??What will magufuri do???
Episode 1 let's waitI think first question is What would Makamba do??
Hawa majamaa wanazan nchi hii wapo wao tu, ila nahisi ile sheria ya mtandao january aliishikia kidedea makusudi kwa ajili ya watu kama hao
sio kama aliishikia dede akijua itamchunga? tusubirie jipu hili sasa.
January alijua atakua Rais so alijiandaa kitambo ili mitandao isimwanike na alifanikiwa, ila nazan pia kuna bifu kati ya mange na mwamvita. Kuna bosi wangu flan aliniambia mtu akija kumsemea flan cha kwanza chunguza uhusiano wao huyo msemaji na msemewaYaani ni hatari kwa kweli,kumbe Makamba ni mla RUshwa,ANGEKUWA RAIS JE?Makamba angeongoza hii nchi kwa remote Mwamvita