nra2303 JF-Expert Member Jul 28, 2015 2,975 2,543 May 25, 2021 #21 Mama alikosea sana kumuacha huyu jamaa angekula kichwa tu atulie na ubunge wake!
kidadari JF-Expert Member Jul 26, 2012 8,647 9,574 May 25, 2021 #22 Waanze na Sukari za 1Kg Mikate Sio wauza karanga na ubuyu
Demi JF-Expert Member Nov 22, 2016 37,453 79,770 May 25, 2021 #23 STUNTER said: Yani hana nyota au? Click to expand... Yupo yupo tu yaani sijui nielezeje😀
D Deceiver JF-Expert Member Apr 19, 2018 9,449 16,962 May 25, 2021 #24 Leo tarehe 25 May, 2021 huku Kibaha vipo Kama vyote. Mwambieni waziri afanye msako wa kustukiza huku au Kibaha hakuhusiki?
Leo tarehe 25 May, 2021 huku Kibaha vipo Kama vyote. Mwambieni waziri afanye msako wa kustukiza huku au Kibaha hakuhusiki?
chazachaza JF-Expert Member Feb 21, 2018 2,829 3,825 May 25, 2021 #25 Si tulikubaliana tusiwagasi wawekezaji jamani!?,Nini Tena hiki jafo!? unataka kukimbiza wawekezaji Tena!??
Si tulikubaliana tusiwagasi wawekezaji jamani!?,Nini Tena hiki jafo!? unataka kukimbiza wawekezaji Tena!??
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,387 May 25, 2021 #26 second in commander said: Waziri wa Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesema kesho wataanza msako wa kukamata vifungashio vya plastiki kupitia NEMC na TBS . Msako utakuwa kuanzia viwandani na mitaani Click to expand... Huyu si aombe ushauri kutoka kwa Januari
second in commander said: Waziri wa Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesema kesho wataanza msako wa kukamata vifungashio vya plastiki kupitia NEMC na TBS . Msako utakuwa kuanzia viwandani na mitaani Click to expand... Huyu si aombe ushauri kutoka kwa Januari
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,077 17,209 May 26, 2021 #27 Demi said: Yupo yupo tu yaani sijui nielezeje Click to expand... Basi tuseme HATOSHI
Demi JF-Expert Member Nov 22, 2016 37,453 79,770 May 26, 2021 #28 STUNTER said: Basi tuseme HATOSHI Click to expand... Inawezekana 😀