Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,964
- 94,422
jokotiSijui tuna serikali ngapi?!
Ahahahahahaaaa....jokoti
madini
kondakta
kwa hio zipo tatu
Matola kimekupata nini ndugu yangu mpaka umeamua kuangalia TBCCM,mimi hata kwa mtutu wa bunduki siangalii-BavichaMimi sina la kuongeza Waziri Jafo yupo live TBC anamwaga takwimu sahihi.
Huo ndiyo ukweli. Ilala ndiyo Tanzania. Ikulu,Ofisi ya RC,TRA,Kariakoo na Posta,Airport sehemu ya Bandari,Muhimbili na CBD ni Ilala.Mimi sina la kuongeza Waziri Jafo yupo live TBC anamwaga takwimu sahihi.
Nina maslahi na huu mkutano, mimi ni investor nafanyakazi na hii wizara.Matola kimekupata nini ndugu yangu mpaka umeamua kuangalia TBCCM,mimi hata kwa mtutu wa bunduki siangalii-Bavicha
U have point MkuuInamaana Dodoma imeipita Mwanza, Mbeya, Arusha? sijaelewa?
Ni vyema pia akatuambia vyanzo vya mapato vinavyoweza kuifanya Dom ikashika namba nne kwa ghafla hivyo.
Kuna biashara gani dodoma ukilinganisha na Geita tu pale au Kahama?, Kuna project gani kubwa dodoma iliyoleta Mzunguko wa watu?.. Unataka kutuambia hawa wafanyakazi wa Serikali, Mashirika ya umma kuhamia dodoma ndio wameongeza mzunguko dodoma?.. kwa nini mapato yasishuke Dar kwa maana ya Kinondoni, Ilala na Temeke ambako ndio wafanyakazi wengi wametoka kuhamia dodoma?
Basi tuwekee katika lugha rahisi(fungua codes) ili tuelewe,inaonyesha kuna kitu unataka kufafanua,ila umetumia lugha ya Kiuchumi zaidi.Ilala imeongoza kwa mapato ghafi ila Dodoma imeongoza kupitisha lengo kwa asilimia kubwa, hivyo unavyosema sehemu fulani imeongoza ni vyema ukasema imeongoza kwa kipengele gani mahsusi.
ahhaha wewe jamaa utakamatwa na wasiojulikana hahahaAhahahahahaaaa....
serekali vitu adimu....kondakta
Serikali fyatua....madini
Serikali rubudani.... Jokoti
Wamepungua baada ya mkuu wao kupelekwa kwa Wanyamwezi,, DAB, KIDOTI,ACACIA hao ndo Selikali...ahhaha wewe jamaa utakamatwa na wasiojulikana hahaha