Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,110
- 5,010
Kuna mtu anafanyiwa hujuma hapo inahitaji utulivu wa akili tu hapoWazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au kuchakachua Mbolea inayopelekwa Kwa wakulima.
Mifuko zaidi ya 700 imekutwa ndani ya ghala Hilo......
My Take; TUNA WATANZANIA WENYE FEDHA NA MADARAKA LAKINI WANA ROHO ZA KIKATILI SANA. KAMA UNAWEZA WAWEKEA WAKULIMA MCHANGA BADALA YA MBOLEA UNASHUNDWA KUFANYA UKATILI MKUBWA ZAIDI SIRINI?
MHE. RAIS UNA SAFARI NDEFU NA HAWA VIONGOZI WAKO WA CCM.....TAFUTA NAMNA YA KUWAJENGEA UZALENDO
wakulima tunaotafuta hela ya mbolea kwa tabu tunahujumiwa!!Tutaandamana .Wazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au kuchakachua Mbolea inayopelekwa Kwa wakulima.
Mifuko zaidi ya 700 imekutwa ndani ya ghala Hilo......
My Take; TUNA WATANZANIA WENYE FEDHA NA MADARAKA LAKINI WANA ROHO ZA KIKATILI SANA. KAMA UNAWEZA WAWEKEA WAKULIMA MCHANGA BADALA YA MBOLEA UNASHUNDWA KUFANYA UKATILI MKUBWA ZAIDI SIRINI?
MHE. RAIS UNA SAFARI NDEFU NA HAWA VIONGOZI WAKO WA CCM.....TAFUTA NAMNA YA KUWAJENGEA UZALENDO
Harafu mkiwakamata watu wa hivi kwenye utumishi wa Umma mnawachekea,Hawa nimkufukuza kazi Moja kwa MojaWazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au kuchakachua Mbolea inayopelekwa Kwa wakulima.
Mifuko zaidi ya 700 imekutwa ndani ya ghala Hilo......
My Take; TUNA WATANZANIA WENYE FEDHA NA MADARAKA LAKINI WANA ROHO ZA KIKATILI SANA. KAMA UNAWEZA WAWEKEA WAKULIMA MCHANGA BADALA YA MBOLEA UNASHUNDWA KUFANYA UKATILI MKUBWA ZAIDI SIRINI?
MHE. RAIS UNA SAFARI NDEFU NA HAWA VIONGOZI WAKO WA CCM.....TAFUTA NAMNA YA KUWAJENGEA UZALENDO
Huyo huyo wa yanga mkuu. Lakini kwa kuwa Bashe ni yanga damdam hayo yataisha muda si mrefuYa Kweli hayo Huna hata kapicha mkuu ,huyu uliyesema mshindo msolwa ndio huyu huyu aliyekuwa rais was yanga Africa sc
Yeye mwenyewe ni walewale. Aliwapa viashiria mapema alivyoingia madarakani. Hataki ukali, kamtupa sabaya lupango na kuwarejesha waliyotemwa na jpm, kawaambia vigogo wale kwa urefu wa kamba zao za malisho. Kampiga jpm vijembe.Wazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au kuchakachua Mbolea inayopelekwa Kwa wakulima.
Mifuko zaidi ya 700 imekutwa ndani ya ghala Hilo......
My Take; TUNA WATANZANIA WENYE FEDHA NA MADARAKA LAKINI WANA ROHO ZA KIKATILI SANA. KAMA UNAWEZA WAWEKEA WAKULIMA MCHANGA BADALA YA MBOLEA UNASHUNDWA KUFANYA UKATILI MKUBWA ZAIDI SIRINI?
MHE. RAIS UNA SAFARI NDEFU NA HAWA VIONGOZI WAKO WA CCM.....TAFUTA NAMNA YA KUWAJENGEA UZALENDO
Bila Rais kufuta ile kauli ya watu wale kwa urefu wa kamba zao, kila mtanzania atatafuta njia yake ya kulamba asaliKuna mtu anafanyiwa hujuma hapo inahitaji utulivu wa akili tu hapo
Nchi hii ni ya kipumbavu sana. Lakini nawapongeza wazalendo waliompelekea taarifa Mh Waziri kuhusu wizi huu unaofanywa na watu wachache wasiowatakia mema wakulilma wa nchi hii. Mungu anawaona.Wazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au kuchakachua Mbolea inayopelekwa Kwa wakulima.
Mifuko zaidi ya 700 imekutwa ndani ya ghala Hilo......
My Take; TUNA WATANZANIA WENYE FEDHA NA MADARAKA LAKINI WANA ROHO ZA KIKATILI SANA. KAMA UNAWEZA WAWEKEA WAKULIMA MCHANGA BADALA YA MBOLEA UNASHUNDWA KUFANYA UKATILI MKUBWA ZAIDI SIRINI?
MHE. RAIS UNA SAFARI NDEFU NA HAWA VIONGOZI WAKO WA CCM.....TAFUTA NAMNA YA KUWAJENGEA UZALENDO
Nchi hii siku hizi kila KILA MTU NI MWIZI.Wazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au kuchakachua Mbolea inayopelekwa Kwa wakulima.
Mifuko zaidi ya 700 imekutwa ndani ya ghala Hilo......
My Take; TUNA WATANZANIA WENYE FEDHA NA MADARAKA LAKINI WANA ROHO ZA KIKATILI SANA. KAMA UNAWEZA WAWEKEA WAKULIMA MCHANGA BADALA YA MBOLEA UNASHUNDWA KUFANYA UKATILI MKUBWA ZAIDI SIRINI?
MHE. RAIS UNA SAFARI NDEFU NA HAWA VIONGOZI WAKO WA CCM.....TAFUTA NAMNA YA KUWAJENGEA UZALENDO
===========
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameagiza kukamatwa na kuhojiwa Meneja Masoko wa Kampuni ya mbolea ya Minjingu Dkt. Mshindo Msola, msimamizi wa ghala la mbolea ya Minjingu mkoa wa Njombe na Meneja wa Kanda wa Nyanda za Juu Kusini wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Michael Sanga kwa tuhuma za kukutwa na mifuko 776 ya mchanga katika ghala la kampuni ya mbolea ya Minjingu ambayo inadhaniwa huenda inatumika kuchakachua mbolea inayouzwa na kampuni hiyo.
Bashe amesema tukio hilo ni hujuma ambayo haivumiliki, ambapo atahakikisha waliohusika wanachukuliwa hatua.
Ametoa agizo hilo baada ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Njombe kwa kushirikiana na wale wa kamati ya siasa ya mkoa huo wakiongozwa na mkuu wa mkoa huo Antony Mtaka kufika katika ghala hilo na kukuta shehena ya mifuko ya mchanga katikati ya mifuko ya mbolea ya Minjingu.
Acha wale tusubiri malaika wa hiari, japo ukweli huyo bibi 2025 bye bye huwezi kuja kibahati halafu utake kubakia hio haipo haipo ndio ataijua CCMBila Rais kufuta ile kauli ya watu wale kwa urefu wa kamba zao, kila mtanzania atatafuta njia yake ya kulamba asali
CCM ni ukoo wa panya—babu mwizi, baba mwizi, watoto wezi, wajukuu wezi, vitukuu wezi, vilembwe wezi na vining’ina wezi! Ukoo huu wa panya walikuwa wanasafiri katika boti la muhogo, lakini kwa sababu ya uroho wao, walianza kulitafuna boti! Kilichofuata ni ukoo mzima wa kizazi cha panya kuzama na kuangamia.Wazir wa Kilimo ameagiza Mshindo Msolwa na wafanyakazi wengine wanosimamia ghala la kuhifadhi Mbolea wakamatwwe baada ya kubainika wamehifadhi mchanga unaofhaniwa unatumika aidha kama bosheni au kuchakachua Mbolea inayopelekwa Kwa wakulima.
Mifuko zaidi ya 700 imekutwa ndani ya ghala Hilo......
My Take; TUNA WATANZANIA WENYE FEDHA NA MADARAKA LAKINI WANA ROHO ZA KIKATILI SANA. KAMA UNAWEZA WAWEKEA WAKULIMA MCHANGA BADALA YA MBOLEA UNASHUNDWA KUFANYA UKATILI MKUBWA ZAIDI SIRINI?
MHE. RAIS UNA SAFARI NDEFU NA HAWA VIONGOZI WAKO WA CCM.....TAFUTA NAMNA YA KUWAJENGEA UZALENDO
===========
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameagiza kukamatwa na kuhojiwa Meneja Masoko wa Kampuni ya mbolea ya Minjingu Dkt. Mshindo Msola, msimamizi wa ghala la mbolea ya Minjingu mkoa wa Njombe na Meneja wa Kanda wa Nyanda za Juu Kusini wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Michael Sanga kwa tuhuma za kukutwa na mifuko 776 ya mchanga katika ghala la kampuni ya mbolea ya Minjingu ambayo inadhaniwa huenda inatumika kuchakachua mbolea inayouzwa na kampuni hiyo.
Bashe amesema tukio hilo ni hujuma ambayo haivumiliki, ambapo atahakikisha waliohusika wanachukuliwa hatua.
Ametoa agizo hilo baada ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Njombe kwa kushirikiana na wale wa kamati ya siasa ya mkoa huo wakiongozwa na mkuu wa mkoa huo Antony Mtaka kufika katika ghala hilo na kukuta shehena ya mifuko ya mchanga katikati ya mifuko ya mbolea ya Minjingu.
Na kuwapunguza uwezo wa kuvuta oksijenHarafu mkiwakamata watu wa hivi kwenye utumishi wa Umma mnawachekea,Hawa nimkufukuza kazi Moja kwa Moja
Njombe hiyo Ndio Michezo yaoKuna mtu anafanyiwa hujuma hapo inahitaji utulivu wa akili tu hapo