#COVID19 Waziri Gwajima is something else! Akimbia kuthibitisha yuko fit baada ya chanjo

Wengine ndo mnagundua leo kuwa waziri D. Gwajima ana ‘kitu’?

Some of us started giving her her flowers long time ago 😉.

Dkt. Gwajima D nakuona…..

I love your work ethic ma’am.

You go above and beyond the call of duty to serve the people.

For that, you get a round of applause 👏 and a standing ovation from me and my kindred spirits.
 
Aisee mimi nilichelewa sana kumwelewa. Ila toka mwaka jana yani ni waziri wangu bora na hana makelele kama wengine. Yani kila waziri angekuwa anafanya kazi zake kama huyu tungepiga hatua. Ni one of the best sema watanzania hupenda wale wenye maigizo.
 
Yes, Dkt. Gwajima D anazidi tu kunifurahisha.

Ingekuwa ni juu yangu mimi, ningeupandisha mshahara wake maradufu….
 
Aisee mimi nilichelewa sana kumwelewa. Ila toka mwaka jana yani ni waziri wangu bora na hana makelele kama wengine. Yani kila waziri angekuwa anafanya kazi zake kama huyu tungepiga hatua. Ni one of the best sema watanzania hupenda wale wenye maigizo.
Kwa wa Mzee wa kububujikwa na machozi ukifanya kazi yako kwa kuzingatia weledi unapoteza mvuto.
 
Wabishi wenyewe tumekubali uchapakazi wake

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…