#COVID19 Waziri Gwajima akamilisha barua ya kukamatwa kwa askofu Gwajima

Kwa kuwa wameshadai wanaoathirika au kufa kwa madhara ya chanjo ya majaribio ya UVIKO ni mia kati ya milioni, askofu yeye atakuwa katumia mfano wa Yesu anayewaacha kondoo 99 kwenda kumtafuta kondoo mmoja aliyepotea.......hiiiii bhagosha.
 
Kwani igp ni mteule wa nani?

Think critically
 
Hii kauli inayotumiwa na viongozi fulani fulani wa serikali ya " FULANI AKAMATWE" logic yake nini hasa?

Na nani mwenye mamlaka ya kuagiza "fulani akamatwe" bila ya yeye kuwepo alipo muhusika anayetakiwa kukamatwa..?

Na kwanini polisi ambacho ndicho kilichopo kishetia chenye jukumu la kukamata mtu yeyote wanayedhani amevunja sheria fulani, wakamhoji na kisha wakiona kuna kosa wakamfikisha mahakamani hawajaona kosa lolote linalofanywa na Rev. Bishop Josephat Gwajima....?

Huyu Waziri kuna kila ishara kuwa ana chuki binafsi tu na huyu mchungaji na sasa kaamua kutaka kutumia mamlaka na madaraka yake kwa kuwatumia polisi kunyanyasa na kumwonea mchungaji huyu ambaye in fact hajamtukana mtu yeyote bali kosa lake ni eti tu kutokukubaliana na serikali juu ya suala la chanjo ya U - 19....

Habari mbaya kwake Waziri Gwajima ni kuwa, hawezi kupata anachokitafuta kutoka kwa mtumishi wa Mungu Mch. Gwajima na badala yake atapoteza na kuumia yeye squarely...!!
 
I say, huyu mama anaupepeta sishangai hawaelewani na shemeji yake. Namuonea huruma huyo Gwajima junior. Hivi anaweza hata kumwambia niletee chakula kweli? Pepepepepepepepepeepepepepeeeeeee!!! Kapakue mwenyewe jikoni.
Kuoa janamke kama lile ni lazima uwe na shida kichwani kidogo..
Yule mmewe mnamuonaje kwanza
Kama zombie flani
 
Niko siti ya mbele kuona hatima na mwisho wa tamthilia hii.
 
Ile statement ya "I wish I could be..." chanzo alikuwa ni nani
 
Dorothy hamuwezi Rashid atarukaruka tu lakini mwisho wa siku Chidboy ataibuka kidedea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…