Urio kimiroI
Senior Member
- Jan 2, 2016
- 146
- 74
Ndiyo maanamnakatiwa shanga jumatatu majibu yapo mezani
Sijui!Alikopita aliacha tija gani?
Mkuu siumesema aliongoza Tume ya Mipango kisha TRA manake unamjua ndio maana nilitaka utuambie tusiomjua kama kuna chaMno aliacha huko alikokuwaSijui!
Mtamkumbuka jkWaziri wa fedha Dr Pholipo Mpango leo kwa mara ya kwanza ameidhalilisha serikali kwa kutowasilisha mpango wa maendeleo wa serikali kwa miaka mitano.
Waziri huyu ambaye tunaaminishwa kuwa ni mchapa kazi ambaye hapo kabla alikuwa kamishna mkuu wa TRA.
Sijajua kama ni hujuma ndani ya ccm kumkomoa Magufuli na serikali yake, lakini kama si hovyo basi Magufuli hapa kalamba galasa.
Inawezekana vipi mtu ambaye unauzoefu wa muda mrefu katika masuala ya fedha alafu unashindwa kuleta mpango wa serikali kwa miaka mitano??
Inamana ulishindwa hata kuediti ile ya Kikwete?
Hakika naanza kushuhudia Kikosi cha Rais kikichoka kabla hata ya dak 45
Kufahamu kuwa alikuwa huko akunipi uwezo wa kujua unachokitaka. Tume ya mipango ameiongoza karibu kipindi chote cha awamu ya nne na kwa hakika ilikuwa ikitoa mipango amabayo serikali na bunge waliitumia kupanga na kutekeleza maendeleo ya nchi hii.Mkuu siumesema aliongoza Tume ya Mipango kisha TRA manake unamjua ndio maana nilitaka utuambie tusiomjua kama kuna chaMno aliacha huko alikokuwa
Kukosea ni kawaida vitu vidogo kama ivyo yeye si malaika ,na sio kigezo cha kusema waziri uwezo wake ni mdogo,mbona aliposimamia ukusanyaji wa kodi miezi iliopita mpaka akavuka malengo wakati anakaimu ukamishina wa TRA hawajamsifu?Kakosea kidogo tu anaonekana ni kilaza bungeni kanakwamba ameingiza serikali hasara.Kuwasilisha mipango ya maendeleo ya serikali iwe mwaka moja miaka 5,miaka 10 kwakufuata kanuni na sheria za bunge kama mipango iyo haitekelezeki haina tija kwa wananchi.Ushabiki wa vyama tuweke pembeni tujenge nchi yetu.
Unaelewa maana ya vitu vidogo lakini? au kwa sababu unajua kusoma na kuandika ndio unaandika chochote?Kukosea ni kawaida vitu vidogo kama ivyo yeye si malaika ,na sio kigezo cha kusema waziri uwezo wake ni mdogo,mbona aliposimamia ukusanyaji wa kodi miezi iliopita mpaka akavuka malengo wakati anakaimu ukamishina wa TRA hawajamsifu?Kakosea kidogo tu anaonekana ni kilaza bungeni kanakwamba ameingiza serikali hasara.Kuwasilisha mipango ya maendeleo ya serikali iwe mwaka moja miaka 5,miaka 10 kwakufuata kanuni na sheria za bunge kama mipango iyo haitekelezeki haina tija kwa wananchi.Ushabiki wa vyama tuweke pembeni tujenge nchi yetu.
Magufuli alimsahau elite wa zamani na mshauri wa mkapa dr chami
Weweeeee acha kutema big G kwa maneno ya kusikika na kumchafulia Dr Mpango - Huyu ni JEMBE hasa, hawa ndio wachumi wachache watakaoivusha Tanzania kutoka katika dibwi tuliloingizwa kipindi cha miaka 10 iliopita.... Usiweke ushabiki wa chama mbele bila msingi wa kuionea uchungu nchi yako. Hili jembe hakika ni chaguo chanya kama alivyo Dr JPM mwenyewe, wewe kaa uangalie, kwanza katafute mahojiano ya Dr Mpango na TBC leo asubuhi ndipo uone cheche zake. ambazo amezitema, mpango mzima kauelezea toka kichwani bila kusoma wala kuangalia popote.... Acheni hizo kuweni wazalendo na nchi yenu...tafiti habari yako kwanza kabla ye kuirusha kwa jamiiiWaziri wa fedha Dr Pholipo Mpango leo kwa mara ya kwanza ameidhalilisha serikali kwa kutowasilisha mpango wa maendeleo wa serikali kwa miaka mitano.
Waziri huyu ambaye tunaaminishwa kuwa ni mchapa kazi ambaye hapo kabla alikuwa kamishna mkuu wa TRA.
Sijajua kama ni hujuma ndani ya ccm kumkomoa Magufuli na serikali yake, lakini kama si hovyo basi Magufuli hapa kalamba galasa.
Inawezekana vipi mtu ambaye unauzoefu wa muda mrefu katika masuala ya fedha alafu unashindwa kuleta mpango wa serikali kwa miaka mitano??
Inamana ulishindwa hata kuediti ile ya Kikwete?
Hakika naanza kushuhudia Kikosi cha Rais kikichoka kabla hata ya dak 45
JK kafanya nini nchini?Pamoja na kumponda hivyo kumbuka ndiye aliyekuwa akiongoza tume ya mipango wakati waJK na kabla ajapelekwa TRA kisha wizara ya fedha na JPM
Wanapigana kwa mijadal ya kitaifa...nako huko kuna wanaosema au waliosema kama wewe. Kulaumu hao wanaopinga kuwa hawazingatii maslahi ya taifa. Ni mtazamo tu.Hii mada imejaa mihemko ya kisiasa kuliko hata maelezo ya kitaalamu na kikanuni.....
Kuna watu wanaangalia makosa tu ilimradi wapate pa kulaumu na kuonyesha uhodari wa kuponda na kutukana kana kwamba wao kwenye profesheni zao hawajawahi kukosea.......hulka yao ya kulaumu inawafanya wasione hata mazuri ya mtu.......ninachowakumbusha ndugu zangu ni kwamba nyakati za malumbano ya kisiasa zimeshapita, sasa malumbano yetu yaelekezwe katika kujenga taifa letu na sio kulibomoa.......
Michango ya wadau wengi humu haipo kwenye kujenga bali ni kama watu waliokuwa wametegesha vinywa vyao ili kuona kuwa waziri atakosea wapi ili wapate kwa kukosoa na kibaya zaidi kosoa yao haipo kwenye kuweka mambo sawa......hii ndio vijana wanaita nitoke vipi...
Kwanini tusiwaige wenzetu wa nchi zingine...
Wamefikia hapo tunapotamani kuwapo kwa kuwa makini yanapokuja maswala yao ya kitaifa.......ambao mara nyingine hufikia hata kupigana ngumi kwenye mijadala ya kitaifa kwa maslahi ya taifa na sio vyama......
Ifikie mahali watanzania tubadilike tusome alama za nyakati....huu ni wakati wa kujenga taifa kwa manufaa ya sasa na vizazi vyetu vijavyo na sio muda wa kuonyesha kukosoa hata katika mambo yenye manufaa kwa taifa kwa kuwa tu aliyelufanya au kuliwasilisha ni mpinzani wako kisiasa........
PAMOJA TUNAWEZA....TANZANIA KWANZA...