General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Waziri wa fedha Dr Pholipo Mpango leo kwa mara ya kwanza ameidhalilisha serikali kwa kutowasilisha mpango wa maendeleo wa serikali kwa miaka mitano.
Waziri huyu ambaye tunaaminishwa kuwa ni mchapa kazi ambaye hapo kabla alikuwa kamishna mkuu wa TRA.
Sijajua kama ni hujuma ndani ya ccm kumkomoa Magufuli na serikali yake, lakini kama si hovyo basi Magufuli hapa kalamba galasa.
Inawezekana vipi mtu ambaye unauzoefu wa muda mrefu katika masuala ya fedha alafu unashindwa kuleta mpango wa serikali kwa miaka mitano??
Inamana ulishindwa hata kuediti ile ya Kikwete?
Hakika naanza kushuhudia Kikosi cha Rais kikichoka kabla hata ya dak 45