Waziri Dr. Milton Makongoro Mahanga na PhD FEKI

ChingaMzalendo

Senior Member
Nov 9, 2008
192
3
Swala la mawaziri na wabunge kuwa na vyeti feki ni vipi? Milton Makongoro Mahanga na baadhi ya wabunge wana PhD's na masters feki je ni nini inafnywa kurekebisha tatizo?

Makongoro Mahnga alipta phD yake toka "Washington international" university isiyo na campus yoyote isipokuwa ofisi ya mtu mmoja Maryland ambayo inatumika kama campus na head office. Unaweza kupata hiyo Degree kwa wiki tatu je ni haki hawa kuhachwa kuendelea kuwa mawaziri na wabunge?

Jamani leteni mahoni
 
Last edited by a moderator:
Hii sio haki kwa mawaziri na wabunge kuachwa kutumikia nafasi zao za kazi wakati hawana qualifications wanazosema wanazo, and the fact kwamba wanadanganya kwamba wana hizi qualifications wakati wanajua fika kwamba wanaudanganya umma ni sababu tosha ya kuwawajibisha. Ingekuwa ni vizuri kama Tanzania Commission for Universities (TCU) ingekuwa inavichunguza vyeti vya wabunge na viongozi wote kama inavyofanya kwa watu wanaoomba kazi kwenye ofisi za serikali kwani hii ni njia peke yake ambayo itapunguza "vihiyo" miongoni mwa viongozi wetu!
 
Hivi wakuu mtu akiwa na bachelor flani hivi hafai kuwa kiongozi mpaka awe na Masters au PhD feki?Kwa mfano mtu kama Mathayo David ana degree nzuri tu ya veterinary medicine lakini nae nasikia ana PhD la kufoji,sasa ina maana hiyo bachelor haimtoshi kuwa mbunge mpaka ahangaike kufoji udaktari wa falsafa?
Mimi huwa nawashangaa sana hawa wakulu tatizo nini?Kina Nchimbi,Mary Nagu,Mahanga nk tatizo lenu nini?
 
TCU ni hopeless, ukiwauliza vyuo gani vinafaa hawakupi jibu; ukiandika barua hawajibu, sasa unategemea nini!!!! Hizo degree hawajafoji bali wamezisomea kwenye hivyo vyuo ambavyo tunaita " feki".
 
Hivi wakuu mtu akiwa na bachelor flani hivi hafai kuwa kiongozi mpaka awe na Masters au PhD feki?Kwa mfano mtu kama Mathayo David ana degree nzuri tu ya veterinary medicine lakini nae nasikia ana PhD la kufoji,sasa ina maana hiyo bachelor haimtoshi kuwa mbunge mpaka ahangaike kufoji udaktari wa falsafa?
Mimi huwa nawashangaa sana hawa wakulu tatizo nini?Kina Nchimbi,Mary Nagu,Mahanga nk tatizo lenu nini?[/QUOTE]

Title,...... Ujiko,...... Siunajua tena kibongobongo,........ninshomile!!!!
 
TCU ni hopeless, ukiwauliza vyuo gani vinafaa hawakupi jibu; ukiandika barua hawajibu, sasa unategemea nini!!!! Hizo degree hawajafoji bali wamezisomea kwenye hivyo vyuo ambavyo tunaita " feki".

Well said Edo,
Hapo TCU kuna wazee wakiritimba sijawahi kuona nchi hii. Hata wajibu wao wa msingi hawajui, hawa ndio wamesababisha huu mfumko wa PhD feki. Hata wale wenye visomo genuine(masters & PhD) wanafanyiwa mizengwe mingi sana. Wanachoweza TCU ni kukomaa na IMTU, lakini kwingineko wamechemsha.
 
Hili swala la viongozi wenye Shahada za kusuka liliwahi kujadiliwa hadi bungeni; Kama sikosei mheshimiwa Shelukindo ndiye aliyeanzisha mjadala huo na waziri Msola akaahidi kulishuhulikia lakini mpaka leo kimya!! Inaelekea wanamtandao ndio wengi wenye vyeti feki ndio maana hatua hazichukuliwi ipasavyo ukianzia na Nchimbi, Lukuvi, Makongoro. David Mattayo, Mzindakaya , Masaburi , Nangale etc. Jambo la kusikitisha ni kwamba usanii wetu tumeupeleka mpaka kwenye E.A. legislative assembly ambako wabunge wa wenzetu ni wasomi kweli kweli na ndio maana wanasema ukihiyo wetu ndio unatufanya tuogope soko la ajira Afrika Mashariki lisiwe huru !! Hii ni aibu, ni vizuri vyeti vya waomba uongozi mwaka 2010 vikahakikiwa na competent authority kabla ya kuruhusiwa kugombea ili tuondokane na aibu hii.
 
Wengi kati ya hao waheshimiwa wenye PhD feki wanamwaga upupu tu badala ya kureflect usomi unao stahili hizo PhD.
Waingizwe kwenye lile kundi la akina Profesa Miti Mirefu na wengine.
Kwa hao wasomi feki kama kuna mtu anazo Thesis zao tunaomba watuambie zilipo ili tuzipitie kwenye mtandao wa JF.
 
Kuna tatizo linaingia TZ kwa haraka kama Nigeria. Yani mtu kuwa na PhD ama kufikia level ya uProfessor inaonekana ndio mkali. Ndio maana kila mtu anajiita Dr. ama Prof., kuanzia wanamichezo (Nelson), waganga wa kienyeji (Maji Marefu) mpaka wanasiasa. Mbunge wa zamani wa Makete, Dr. Hans Kitine aliwahi hoji Bungeni, wanaojiita maDr. watoe Tasnifu (Thesis) zao zionekane wamefanya nini?.
 
Dr. Mathayo PHD yake kaifanyia kazi na kuna kipindi alikuwa pale Botswana akifundisha kabala hajaenda kutafuta utajiri(ubunge)
 
Dr. Mathayo PHD yake kaifanyia kazi na kuna kipindi alikuwa pale Botswana akifundisha kabala hajaenda kutafuta utajiri(ubunge)

Mkuu Gembe, kama huna data usikurupuke kumtetea mtu. Unajua kilichompata Botswana au unajisemea tu? Kweli kafundisha Botswana, lakini hii haina maana kuwa Mathayo ana PhD ya kweli. Kule Botswana alidanganya kama anavyofanya sasa bongo. Alipoona dili linaanza kubainika, akatoroka kwa kisingio kuwa anakuja kutibiwa bongo. Hakurudi tena Botswana mpaka leo. Kulikuwa na tetesi kuwa alikuwa anatafutwa Botswana. Sijui sekeseke lile liliishia wapi! Alipofika bongo akajiingiza kwenye mchakato wa kutafuta ubunge kupitia ujanjaujanja wa uanamtandao. Jamaa ni mjanja sana, ubunge kaupata na uwaziri juu. Bahati mbaya sana vyombo vyetu husika Tanzania haviwajibiki mpaka vilazimishwe kufanya kazi (Agalia EWURA : Imejitutumua hivi majuzi baada ya kikwete kumwambia Ngeleja aibane EWURA kudhibiti mfumuko wa bei za mafuta nchini). TCU au chombo chochote husika kikiamua kufuatilia udokta wa Bw. Mathayo utaghundua kuwa Mathayo alipaswa sasa hivi kuwa keko na wala si kwenye cabinet au bungeni. Visingizio kibao, oooh hatuna meno, oohh, sheria ya kutupa mamlaka hayo haipo, ooh unajua hivi, oohh unajua vile, ooh, ....oohh....
 
Dataz safi mkuu.Huyo Mathayo hata Prof Msola alimwambia ampelekee thesis yake,akawa anachengachenga tu,nadhani mpaka leo hajaipeleka.
 
Msimsahau Dakitari Karume na Dialo; tena kama dialo hata hivyo vidato vinne alidandia tu chamtu. Kama Baisi alinyang'anywa kwa nini na hawa wengine wasifutiwe kwani lazima uwe unahitaji kufundisha chuo kikuu tu ndo PhD ihojiwe uhalali wake?
 
Mtu mwongo kwanza hujidanganya mwenyewe ,ndipo hukurupuka kama kafumaniwa kwenda kudanganya wengine kwa mara ya pili.
 
Nakumbuka wakati Prof. Msola anachaguliwa kwa mara yakwanza kuwa waziri wa sayansi watu walimnukuu vibaya kuwa kasema pamoja na mambo mengine atafanya/ataanzisha academic qualification audit ili kuhakiki hizo degree, masters na Phd feki. Kimsingi nadhani aliemnukuu kipindi kile alifanya deliberate kuonyesha kuwa hili ni tatizo katika nchi yetu.

Nadhani ni muda muafaka na nachukua fulsa hii kumkumbusha kuwa tunataka aanzishe utaratibu huu na sample zakuanzia anaweza kuanza na hao wanaotuhumiwa sasa. Nawakilisha.
 
Back
Top Bottom