Waziri Charles Mwijage amuomba rais Magufuli radhi kwa kumkwaza, aahidi kufanyia kazi maelekezo yake

Mfalme Suleiman aliambiwa na Mungu "niombe chochote utakacho,nitakupatia".Yeye hakuomba mali wala utajiri,bali aliomba HEKIMA ya kuongoza watu wake.

Hekima kwa kiongozi wa nchi ni bora kuliko chochote!
 
Nilibahatika kuangalia (ma)tukio yote ya uzinduzi na kwa amoni yangu Waziri Mwijage alikuwa sahihi kuomba msamaha. Huwezi elezwa kitu na mkuu wako (hata mzazi wako) chenye manufaa kwako na familia kwa ujumla na usitekeleze bila sababu za msingi.

I stand to be corrected
 
Kipindi kile yule jamaa anawaita wapinzani wapumbavu, baadhi ya watu walikuwa wakishangilia na kucheka kwa dharau! Leo kibao kimewageukia, na bado ndio kwanza mwaka wa 2! Huko mbeleni naona mpaka ngumi watapingwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Baadhi ya mawaziri katika Serikali yangu ni Wapumbavu."

-Mheshimiwa Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, Chongoleani Tanga, 6/08/2017.
 
Waziri wa viwanda biashara na uwekezaji ndugu Charles Mwijage amemuomba rais Magufuli msamaha kwa kumkwaza katika kazi na kuahidi kufanyia kazi maelekezo yake.

Aidha katika hatua nyingine waziri Mwijage amemuomba rais Magufuli kutomkumbusha tena majukumu yake kwakuwa kwa kufanya hivyo atakuwa anamuumiza kisaikolojia.

Mapema leo Rais Magufuli ametamka waziwazi kuwa ndugu Charles Mwijage ni miongoni mwa mawaziri wanaomkwaza kiutendaji na kuenda mbali zaidi kwa kuwaita baadhi ya mawaziri wake kuwa ni wapumbavu.

[HASHTAG]#PambaneniNaHaliYenu[/HASHTAG]

Si muondoke humo mumuachie? Yanini kung'ang'ania na masimango yote hayo?
Kwa hiyo wafanye wanavyotaka,wasikemewe,eeh,upuuzi basi.Halafu hebu ona Huyu Mwaijage,eti asikumbushwe majukumu yake,dah,yeye ni nani hata asikumbushwe majukumu yake?Huyu Nshomile ni shida, Rais aachane naye,atamkwamisha.Ndio maana Mwalimu alikuwa hawataki,wengi wao wanajisikia sana.
 
waziri tena Phd holder unaitwa mpumbavu na unakubali kwa nini usijizuru kulinda heshima ya ya taaluma yako au ndo kuendekeza njaa huko?
 
Waziri wa viwanda biashara na uwekezaji ndugu Charles Mwijage amemuomba rais Magufuli msamaha kwa kumkwaza katika kazi na kuahidi kufanyia kazi maelekezo yake.

Aidha katika hatua nyingine waziri Mwijage amemuomba rais Magufuli kutomkumbusha tena majukumu yake kwakuwa kwa kufanya hivyo atakuwa anamuumiza kisaikolojia.

Mapema leo Rais Magufuli ametamka waziwazi kuwa ndugu Charles Mwijage ni miongoni mwa mawaziri wanaomkwaza kiutendaji na kuenda mbali zaidi kwa kuwaita baadhi ya mawaziri wake kuwa ni wapumbavu.

[HASHTAG]#PambaneniNaHaliYenu[/HASHTAG]

Si muondoke humo mumuachie? Yanini kung'ang'ania na masimango yote hayo?

NJAA KALI JEE WAMEKARIRI NA WATATUSIWA MPAKA MAKABURI YA KWAO
 
Mawaziri wapumbavu walichaguliwa na nani?? Akiwa Kigoma alijitamba kuwa anachagua wenye akili tu ndio maana wapinzani (CCM B) ataendelea kuwachomoa mmoja mmoja na kuwagaia vyeo ila sio wa CHADEMA!!!

"Mimi msema kweli mpenzi wa Mungu"" Tutajie hao wapumbavu!!!!
ANZA NAYY
 
ole wao esho tuwate wapumbavu watutie polisi maana wao wenye huwa wanatuambia neno la raisi ni sheria
 
mwijage kafanya uungwana kama muungwana yoyote.

jambo la msingi kabisa ni kuhakikisha wananchi wanapata matokeo chanya ya kiamaendeleo.
lakini raisi hajaonyesha ungwana wowote kuita wenzie wapumbavu
 
Back
Top Bottom