Waziri Charles Mwijage amuomba rais Magufuli radhi kwa kumkwaza, aahidi kufanyia kazi maelekezo yake

Kwa kujikomba huku na kujiliza haishangazi akiitwa mpumbavu!

Yaani sisi ni MZIGO WA MWIBA HATUBEBEKI
Leo MH RAIS ANADHIHIRISHA WAZI KUA HATA KTK SERIKALI YAKE WAPO MAWAZIR WAKE WAPUMBAVU
HII NI HISTORY KTK SERIKALI YA JPM KUSEMA WAZI KITU KAMA HICHO
SASA HADI KUSEMA
HIVO NI KUZIDI KUWAAMSHA WATENDAJI WA SERIKALINI KUA MAKINI KTK KAZI ZAO HAO WALIOLALA
Ati mnasema anajikomba huyo waziri
NOOOO,,NAE ANATUMA UJUMBE WAKUOMBA RADHI KWA MKUU WAKE KUPITIA MEDIAS
KAMA WALIVOTUMIWA UJUMBE WAO NA MKUU WAO KWA KUPITIA MEDIAS
HILI JAMBO LINAPASWA TULISIFIE LKN SISI ALIETUROGA ALISHAKUFA
 
Mpumbavu ni mtu anayepumbaza yan anakua anajua kitu lakin anapuuzia kwa sababu zisizo za msingi kwa hyo ni wapumbavu sasa waanze kushughulika
 
Na ww mkuu ni mpumbavu nn maana umetoka kwenye hoja vip boss
Mbowe mwenyewe ANAWABURUZA WABUNGE NA WANACHAMA WAKE, ANAWAKATA PESA na hakuna aliye tayari hata KUMKOSOA, Sembuse RAIS wa nchi

- Wabunge na wanachama wa chadema wako tayari hata kwenda kuosha vyombo kwa JOYCE MUKYA kuliko kujiuzulu AU KUMKOSOA MBOWE
 
Ajakosea ni wapumbumbavu hasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi nina maoni tofauti kidogo, baadhi ya Mawaziri hawapo pamoja na JPJM katika utendaji wao kazi, oh yes wanampa lip service tu akiwapa kisogo wanafanya ya kwao bila simile, mwaka juzi niliwahi kusema/fafanulia kwamba sakata la SUKARI ndio kiwe kipimo tosha cha kumuonyesha JPJM kati viongozi aliyo wa appoint ni wangapi ambao wapo pamoja naye kimaadili na si waigizaji - akumbuke kwamba wafanya biashara bado wana ushawishi mkubwa ndani ya Serikali yake - Baba wa Taifa alikuwa anakaa mbali na group hili for some reason, labda tujiulize swali dogo: hivi ilikuaje bei elekezi za uuzai sukari ilipuuzwa badala yake sukari ikaja kuuzwa eventually kwa bei iliyo kuwa imependekezwa na wafanya biashara i.e wafanya biashara were one step ahead ya State, the burning question is: were they alone in the game - I don't think so, this should've been a wake up call 4 our beloved Head of STATE.

Narudia kukumbusha tena kwamba Dk.Magufuli ajaribu ku-play back sakata zima la SUKARI ili aweze kutambua ni viongozi gani walikuwa wanatoa visingizio mbali mbali vya ku-justify upandishaji bei kwa niaba ya wafanya biashara ili sukari iuzwe kwa bei wanayo itaka wao, mnaweza kulichukulia tukio hilo kimzaa mzaa lakini huo ulikuwa mtihani tosha wa ku-expose viongozi/watu ambao wataendelea kuhujumu effort za Dk.Magifuli indirectly, si kwa Sukari tu bali na mambo mengine yatakayo kuja kujidhilisha mbele ya safari.

Jambo lingine ambalo limenifanya nibaki najiuliza maswali mengi linahusu flowmeter, tunaingia karibu mwaka wa pili na hakuna kunacho endelea i.e mita haifanyi kazi wakati Serikali nzima inajua umuhimu wa pekee kiuchumi kuhusu mita hiyo, cha ajabu tunavalia njuga ufungaji wa EFD kwenye vituoa vya kuuza mafuta Nchi nzima mpaka Waziri anafuatilia kwa karibu zoezi hilo na kufikia kufungia baadhi ya vituo vinavyo kihuka maagizo ya Serikali - tunasahau/hatufatilli kabisa ufungaji mita kwenye source inayo tambua quantity ya mafuta YOYE yanayo ingizwa Nchini at any given time - je, hili ni jambo la kawaida kweli?? Hii ni hujuma iliyo wazi wazi yenye lengo la kuto heshimu agizo la mkuu wa Nchi ambaye ndiye mwenye uchungu wa kweli kuhusu Taifa letu, kama nakumbuka vizuri aliwahi kutembela pale Bandarini zaidi ya mara moja akifatilia flowmeter among other things, kama nakumbuka vizuri hata Waziri Mkuu aliwahi kusema anataka ofisi yake iwe inapewa weekly au monthly report kuhusu ufanyakazi wa flowmita - sasa nini kilitokea baada ya kutoa maagizo hayo - mwaka unakatika na hakuna anaye shituka!!! Hata Rais akikasirika yuko justified kabisa tunawezaje kupuuzia lifeline ya Uchumi wetu, are we normal?

Binafsi niliwahi kuulizia kuhusu mita hiyo nikaambiwa kwamba sijui wameform kamati gani ya kwenda kutembelea viwanda vya manufacturers wa flowmeter huko Ulaya na Marekani, nikuliza kwa nini? Wakasema wanataka ku itisha tenda ya kununua mita nyingine, je, kama wapo serious waliwahi kuhoji kama mita hiyo aiwezi kuwa serviced hapa nchini kwa kununua spea parts tu kama kuna ulazima wa kufanya hivyo na baadae wakai calibrate mbona hayo mambo ya instrumentation tu kwani tatizo liko wapi - mambo madogo tu wanaform makamati juu ya makamati mtu unaweza kufikiri wanataka kujenga a Nuclear Power Reactor Bandarini, hawataki kabisa kujua kama kuna Wataalamu wa Kitanzania wano weza kufufua mita hiyo - wako determined hisifanye kazi and are well organised - wakati mwingine JPJM akisema kazi ya kuwa Head of STATE ni headache namuelewa anamaanisha nini - kama una baadhi ya Viongozi wenzako unao waamini lakini 4 some reasons hawataki ku-run in sync na unayo waelekeza/agiza hii kama sio pasua kichwa tuiiteje?
 
Huu utakuwa woga wa maisha isitoshe waziri ajui ata abc za entrepreneurship anawaza atalia kama gavana wa moro wa kipindi kile . So sad
Umenikumbusha mbali mkuu, yule PhD holder wa Moro kulalama kwanini ameachwa kwenye teuzi, ilikuwa aibu aisee. Huyu nae alishasema hataki kibarua chake kiote nyasi kwani familia inamtegemea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu waziri angekua ndugu yangu au mtu ambae tuko karibu ningemsema sana...hivi analialia nn?, kama spid imemshinda si akae pembeni au anaogopa ajira..hahaha.....yaan watu wanakuwa watumwa mpaka uzeeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom